K katawa JF-Expert Member Joined Jan 29, 2010 Posts 1,103 Reaction score 2,575 May 5, 2024 #41 walikuyu said: Hapo shida ni elimu mtu ambae ameenda shule hawezi kufanya huo ujinga kamwe wengi wao ni wale ambao shule iliwapitia kushoto serikali kupitia vyombo vyake inakazi kubwa ya kutoa elimu mahususi kwa jamii iyo ili watu wapate mwanga Click to expand... Wasomi wengi wa kiafrika wamefanikiwa kufuta ujinga ila wameshindwa kuondoa upumbavu. Wasomi wengi ni wapumbavu.
walikuyu said: Hapo shida ni elimu mtu ambae ameenda shule hawezi kufanya huo ujinga kamwe wengi wao ni wale ambao shule iliwapitia kushoto serikali kupitia vyombo vyake inakazi kubwa ya kutoa elimu mahususi kwa jamii iyo ili watu wapate mwanga Click to expand... Wasomi wengi wa kiafrika wamefanikiwa kufuta ujinga ila wameshindwa kuondoa upumbavu. Wasomi wengi ni wapumbavu.
-ArkadHill JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 845 Reaction score 1,501 May 5, 2024 #42 Watery said: Niko Mara na mi ni mjita ila hii yako leo ndo naisikia, Au na we umeadithiwa bob Click to expand... Kutiki wasu, mwana wa mai.
Watery said: Niko Mara na mi ni mjita ila hii yako leo ndo naisikia, Au na we umeadithiwa bob Click to expand... Kutiki wasu, mwana wa mai.