mm nawamotivate tu ila ucje ukadhan wakianza kututongoza tutatongozwa ovyo km tunavyowatongoza sisi ilo sahau wale wakipenda wanapenda kweli wana kinyaa pia ivo akikuambia anakupenda kamaanisha sisi wanaume tumeweka tamaa mbeleWadanganye wajichanganye na vile wengi wetu hatujuagi kukataa, ni maumivu.
thubutu mwanamke ata uwe na hela ataleta shobo tu ili ww ujichenge mfano mm kuna demu aliniombaga anywe soda yangu nikamwambia kunywa akanywa tena kwa madoido nikajitia simuelew mwingine alinopaga maji nimfungulie kawapita watu kibao aje aniombe mm nikajitia simuelew nikamfungulia maji kisha nikakaushaWaulize wanaume wenye mpunga watakuambia namna wanavyotongozwa hadi wanachoka yaani.
hui ujinga na wizi umepitwa na mda mm demu aniletee sound izo simjibu kitu nasepa kimya kimyaakinitongoza ntakubali kimoyomoyo ila sintamwambia hapohapo ntamwambia nipe mda nimfikirie ombi lake halafu baada ya mda ntamwambia nimeishiwa na kodi ya chumba miezi sita inatakiwa na jiko gesi limekata nifanyie mpango my wangu
Wanaume tumeumbiwa kunyamaza mdogo angu.....Nitamuambia kaka
mmmhWanaume tumeumbiwa kunyamaza mdogo angu.....
weka oicha zao apaMi nimetongozwa sana na mademu, nikawakataa wote
Kukataa ni ngumu mnoMimi naweza jikuta nalala na wanawake 20 kwa siku.
Asiwadanganye huyo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]