Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

Wadanganye wajichanganye na vile wengi wetu hatujuagi kukataa, ni maumivu.
mm nawamotivate tu ila ucje ukadhan wakianza kututongoza tutatongozwa ovyo km tunavyowatongoza sisi ilo sahau wale wakipenda wanapenda kweli wana kinyaa pia ivo akikuambia anakupenda kamaanisha sisi wanaume tumeweka tamaa mbele
 
Waulize wanaume wenye mpunga watakuambia namna wanavyotongozwa hadi wanachoka yaani.
thubutu mwanamke ata uwe na hela ataleta shobo tu ili ww ujichenge mfano mm kuna demu aliniombaga anywe soda yangu nikamwambia kunywa akanywa tena kwa madoido nikajitia simuelew mwingine alinopaga maji nimfungulie kawapita watu kibao aje aniombe mm nikajitia simuelew nikamfungulia maji kisha nikakausha

ila kutamka mmmh hawawez
 
akinitongoza ntakubali kimoyomoyo ila sintamwambia hapohapo ntamwambia nipe mda nimfikirie ombi lake halafu baada ya mda ntamwambia nimeishiwa na kodi ya chumba miezi sita inatakiwa na jiko gesi limekata nifanyie mpango my wangu
hui ujinga na wizi umepitwa na mda mm demu aniletee sound izo simjibu kitu nasepa kimya kimya
 
Mi nimetongozwa sana na mademu, nikawakataa wote
 
Back
Top Bottom