Mila za wahaya

Duh naona hii thread imevamiwa na wahaya. Bepari wao siui yupo humu.
 
Kaitaba picha za mila za wahaya ziko wapi brother/Sister?
 
Ngoja tumsaidie kwa kuweka hizi zinazoonyesha wanacheza ngoma😀
 
Wahaya zamani zile hawakuwa na glass wala bakuli hivyo kama picha inavyoonyesha huyu mtu anakunywa pombe yake kupitia jani la mgomba lililokunjwa kiaina-aina. Wao wanaita Kitegela.

Naona na wahaya wa zama hizi wanaendeleza mila.........
Hata kwa kula linatumika kama bakuli ya mboga😀

 
Nanye tinabona kantu konakona!
Nkizoka abandize ethiredi egi abaile nayenda kuhulila abahaya tulagambaki, mbwenu tumshale tutaandika lushwahili anga lungereza, tuandike akomuka tushulane, tumanyisangane amakuru, tutegeke.Nimbeiya waitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…