Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Aisee, sijui unamuita Dada, sijui mwanangu?Mtoto wa babako kwa mkeo anakuwa ni nani yako?
Haa ππππ πWaha kwa ubishi, duh, hatutawezana
Demu ana gono, unempiga kavu, anakukazimisha yeye ana UTI sio gonoHaa ππππ π
Oops! Ndiyo Hao Wa Wapi?πDemu ana gono, unempiga kavu, anakukazimisha yeye ana UTI sio gono
KaskaziniOops! Ndiyo Hao Wa Wapi?π
Kuna dogo amelambwa fimbo 50 majuzi kwa kosa la kutaka kumfukuza mkewe baada ya kumkuta ni mjamzito. Dogo kapiga mishe mjini kama mwaka hivi, siku aliporudi kijijin akakuta wife wake ana mimba ya miezi kadhaa. Dogo kaanzisha timbwili, binti akashitaki kwa wazee. Dogo kawekwa kiti moto, akalambwa bakora na akatoa fine ya ng'ombe watu wale. Alirudi mjini analaani kuoa.
Kule unapiga mama mtu, mashangazi, mashemeji, yaani utacheza kiungo bila kupenda, hawagombani na hawana wivu. Bah bwana wewe, umenyataBora wa Kusini umakondeni huko.