Mila zetu watu wa Kaskazini

Mila zetu watu wa Kaskazini

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu ni usenge kweli
Kuna dogo amelambwa fimbo 50 majuzi kwa kosa la kutaka kumfukuza mkewe baada ya kumkuta ni mjamzito. Dogo kapiga mishe mjini kama mwaka hivi, siku aliporudi kijijin akakuta wife wake ana mimba ya miezi kadhaa. Dogo kaanzisha timbwili, binti akashitaki kwa wazee. Dogo kawekwa kiti moto, akalambwa bakora na akatoa fine ya ng'ombe watu wale. Alirudi mjini analaani kuoa.
 
Hizo zote ni maneno ya mtaani tuu, sio ya kweli. Nenda jaribu hyo ya mkuki uone cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom