Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Ni ktk mechi ya pili ya ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A.
Milan tuko mbele ya Inter kwa tofauti ya pointi mbili.
Mechi ya kwanza iliyokuwa chini ya Inter, tuliweza kuwafunga kwa Goli 1-0 goli lililofungwa na mshambuliaji Zlatan Ibracadabra.
Mungu ibariki Milan.
Game itakuwa saturday 2/april,time ni 19:45 cet..Internazionale itakuwa bila ya beki wake wa kati Lucio ambaye ni suspended na beki mwingine wa kati Andrea Ronocchia faces late fitness test...AC Milan hawatokuwa na Zlatan ambaye ni suspended
milan 3-0 Inter
Niwarudisheni Barabara ya Pugu kwake Nazir Mayoka kwa ajili ya matangazo mengine