Milango 7 ya Baraka kwenye Maisha ya Mwanadamu

Mejasoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
298
Reaction score
600
Kila Mwanadamu ili afanikiwe kwenye ulimwengu wa kimwili (Unaoonekana) anahitaji apate Baraka kutoka ulimwengu wa kiroho (Usioonekana) na Baraka hizo zinaweza kupitia Milango maalumu inayotambulika kama Milango ya Baraka, ipo takribani Saba kama ifuatavyo:

1) Mlango Mawazo/Fikra
Kupitia lango hili baraka huingia katika maisha ya mtu na kumfanya aishi katika Neema ya ufanisi na mafanikio endapo atatumia lango hili vizuri, kupitia lango hili mtu anaweza kutajirika kwa kupata na kuleta Mawazo mapya duniani yanayoleta ufumbuzi na kuboresha maisha ya watu, wakawa wagunduzi wa teknolojia, mashine na mifumo mbalimbali wameneemeka sana kupitia lango hili kupata mali, pesa, heshima na umaarufu kwa mfano Bill gates (Microsoft), Elon Musk (Tesla), Mark Zuckerberg (Facebook)na wengineo wengi
NB: Tujenge tamaduni ya kujihusisha na vitu vinavyojenga mawazo / chanya na ya thamani yatatupa matunda

2. Mlango Kusudi/Agano
Watu wengi walofanikiwa kujua kusudi au Lengo la wao kuumbwa na kuishi hapa duniani wamefaniliwa sana kwenye wito/miito Yao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye fani, taaluma na tasnia mbalimbali kwa ajili ya kusaka tu riziki bila kujua ni wito wao au la, Wengi wanaoishi kusudi au wito walioitiwa duniani wanakuwa wabunifu, mahiri na wasiochosha au kuchoka kutimiza majukumu Yao na hivyo kazi, bidhaa au huduma zao kuwa bora zaidi ya wengine
NB: Ni vyema kutafuta kusudi la Mungu kukuleta hapa duniani ili kupokea baraka za kulifanikisha hilo kusudi nawe utapata mafanikio ya jumla maishani mwako

3.Mlango Muda
Kuna msemo maarufu usemao "wakati ukifika" huwezi kuzuia au "wakati wako ukifika umefika" "when it's your time it's your time "
Hii Ina maanisha Kuna muda inaweza ukawa unajitihada kubwa sana na hauoni matunda lakini Kuna muda una juhudi ndogo au za kawaida tu ila mambo yanakunyookea sana, Sasa ndio utambue pia Baraka zimefichwa kwenye muda pia, Kuna muda unaambatana na Baraka na kinyume chake, muda wa kuzaliwa muda wa kufa, muda wa kupanda muda wa kuvuna, muda wa kulia muda wa kucheka n.k
NB: Jizoeshe kuomba kwa bidii juu ya muda/wakati/majira yakujie na Baraka na hata kama hakuna Baraka basi yasije na mikosi / balaa au nuksi hii itafanya maisha yako yawe mazuri na mepesi

4. Mlango Eneo/Mahali
Lango hili ni sehemu mtu alipopangiwa aishi na kufanikisha kusudi lake la kuishi duniani, mfano Mtume Paulo aliitwa kuhubiri kwa ajili ya Mataifa alipokua anahibiri kwa wayahudi alipata misukosuko mikubwa ikiwa pamoja na kupigiwa nusu ya kutolewa uhai, ila alipopelekwa Roma aliachiwa huru na hakushtakiwa kwa lolote Wala kushambuliwa alipokua anahibiri Roma, hiyo pia ipo kwa watu mbalimbali mfano mtu anaweza akawa na maisha magumu eneo fulani ila akahama na kwenda kufanikiwa eneo lingine
NB: Ni muhimu kujifunza maeneo ambayo tunaendana nayo au yamebeba mafanikio yetu ili tuweze kufanikiwa katika maisha yetu kupitia Baraka zilizowekwa katika eneo/mahali husika kwa ajili yako.

5. Mlango Watu,
Baraka au Riziki zimefichwa kupitia watu, Kuna msemo mmoja unaosema "kila kitu unachokihitaji Kuna mtu au watu wanacho na wanaweza kukupatia" shida ni namna gani unaishi na hao watu? Inaweza Mlango wa Baraka kupitia watu ukawa Mzazi, Ndugu, Mtoto, Mwalimu, Rafiki, Kiongozi, Bosi, Mfanyakazi,Mpita Njia au hata adui na mtu yoyote ndio maana unatakiwa kuwa mkarimu na muungwana kwa watu kwani wamebeba njia ya mafanikio yako, Waswahili wanasema "Ongea na Watu Upate Viatu " mfano, Baba wa Imani Ibrahimu kwa ukarimu wake alijikuta anawakaribisha Malaika nyumbani kwake na kupata jawabu la Ombi lake la Muda mrefu la kupata mtoto
NB: Heshimu kila mtu hujui ni nani aliyebeba wokovu au mauti yako, hata kwenye kazi mara nyingi wanataka uwe na mareferees

6.Mlango Karama/ Kipawa
Mlango huu unahusisha vipaji, karama na uweza uliowekwa ndani ya mtu, wapo watu wengi wamefaniliwa kupitia vipaji vyao na karama mfano, wanamuziki, wanamichezo, waigizaji, wanasiasa, wachungaji, mitume na manabii, wanasayansi, walimu, madaktari n.k
NB: Ni muhimu kujua kipaji chako ni Nini ili uwekeze kwenye hicho kipaji maana kimebeba baraka mafanikio yako

7: Mlango Cheo/Nafasi
Lango hili linakupa fursa ya kupokea Baraka au balaa pia. Watu wenye Cheo kwenye Jamii wamaombewa sana Baraka na watu wanaowahitaji na kuwategemea na Kuombewa balaa kwa wale maadui zao, na kila nafasi katika ulimwengu imepewa daraja lake na maslai yake, pia mamlaka ndani yake, hivyo mtu unapokua kwenye Nafasi una nafasi ya kupandishwa zaidi au kushushwa kumtegemea na utashi wako, umuhimu wako, Maarifa na ufanisi wako, mfano mtu akiwa na mamlaka au wadhifa fulani mambo yake na watu wake wa karibu yananyooka sana, viongozi wengi ni matajiri, mabosi wengi Wana maisha mazuri, watu wazima wengi wanamiliki, wanaume wengi ni watawala hii ni kutokana na Cheo/Daraja/Nafasi walizonzao

Hivyo hiyo ndio Milango Muhimu Saba ya Baraka iliyojadiliwa hapo juu ni muhimu kuzingatiwa na kila mtu ili maisha yake yaende vyema,
Inashauriwa kila muda kuhakikisha Milango isiyopungua mitatu iwepo wazi kwa ajili ya kupitisha baraka na kuleta uwiano mzuri katika maisha ya mtu.

Reference
Mwalimu Mgisa Mtebe
Mwalimu Christopher Mwakasege
Mwalimu Sunbella Kyando
Pastor John Sembatwa
Mwalimu George Mukabwa
Joel Nanauka
 
Kila Mwanadamu ili afanikiwe kwenye ulimwengu wa kimwili (Unaoonekana) anahitaji apate Baraka kutoka ulimwengu wa kiroho (Usioonekana) na Baraka hizo zinaweza kupitia Milango maalumu inayotambulika kama Milango ya Baraka, ipo takribani Saba kama ifuatavyo:

1) Mlango Mawazo/Fikra
Kupitia lango hili baraka huingia katika maisha ya mtu na kumfanya aishi katika Neema ya ufanisi na mafanikio endapo atatumia lango hili vizuri, kupitia lango hili mtu anaweza kutajirika kwa kupata na kuleta Mawazo mapya duniani yanayoleta ufumbuzi na kuboresha maisha ya watu,.wakowa wagunduzi wa teknolojia, mashine na mifumo mbalimbali wameneemeka sana kupitia lango hili kupata mali, pesa, heshima na umaarufu kwa mfano Bill gates (Microsoft), Elon Musk (Tesla), Mark Zuckerberg (Facebook)na wengineo wengi

kiongozi una habari tunaagiza vijiti vya kuchokoa meno (toothpick) kutoka nje ya.nchi?
 
Mlango watu
 
Attachments

  • Screenshot_20211122-213018.jpg
    Screenshot_20211122-213018.jpg
    37.7 KB · Views: 14
Mlango Eneo
 
Attachments

  • Screenshot_20231210_075001_Telegram.jpg
    Screenshot_20231210_075001_Telegram.jpg
    100.5 KB · Views: 10
Haya maneno sio mageni hapa jijini.

Fanya kazi huku ukiwa timamu kwaajili ya nyakati zinazokuja mbele yako, au ukate tamaa yaje mabalaa
 
Mlango kipawa
 
Attachments

  • Screenshot_20211209-224852.jpg
    Screenshot_20211209-224852.jpg
    61.1 KB · Views: 10
Mlango Mawazo
 
Attachments

  • FB_IMG_1637061849952.jpg
    FB_IMG_1637061849952.jpg
    58.4 KB · Views: 10
Kila Mwanadamu ili afanikiwe kwenye ulimwengu wa kimwili (Unaoonekana) anahitaji apate Baraka kutoka ulimwengu wa kiroho (Usioonekana) na Baraka hizo zinaweza kupitia Milango maalumu inayotambulika kama Milango ya Baraka, ipo takribani Saba kama ifuatavyo:

1) Mlango Mawazo/Fikra
Kupitia lango hili baraka huingia katika maisha ya mtu na kumfanya aishi katika Neema ya ufanisi na mafanikio endapo atatumia lango hili vizuri, kupitia lango hili mtu anaweza kutajirika kwa kupata na kuleta Mawazo mapya duniani yanayoleta ufumbuzi na kuboresha maisha ya watu,.wakowa wagunduzi wa teknolojia, mashine na mifumo mbalimbali wameneemeka sana kupitia lango hili kupata mali, pesa, heshima na umaarufu kwa mfano Bill gates (Microsoft), Elon Musk (Tesla), Mark Zuckerberg (Facebook)na wengineo wengi
NB: Tujenge tamaduni ya kujihusisha na vitu vinavyojenga mawazo / chanya na ya thamani yatatupa matunda

2. Mlango Kusudi/Agano
Watu wengi walofanikiwa kujua kusudi au Lengo la wao kuumbwa na kuishi hapa duniani wamefaniliwa sana kwenye wito/miito Yao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye fani, taaluma na tasnia mbalimbali kwa ajili ya kusaka tu riziki bila kujua ni wito wao au la, Wengi wanaoishi kusudi au wito walioitiwa duniani wanakuwa wabunifu, mahiri na wasiochosha au kuchoka kutimiza majukumu Yao na hivyo kazi, bidhaa au huduma zao kuwa bora zaidi ya wengine
NB: Ni vyema kutafuta kusudi la Mungu kukuleta hapa duniani ili kupokea baraka za kulifanikisha hilo kusudi nawe utapata mafanikio ya jumla maishani mwako

3.Mlango Muda
Kuna msemo maarufu usemao "wakati ukifika" huwezi kuzuia au "wakati wako ukifika umefika" "when it's your time it's your time "
Hii Ina maanisha Kuna muda inaweza ukawa unajitihada kubwa sana na hauoni matunda lakini Kuna muda una juhudi ndogo au za kawaida tu ila mambo yanakunyookea sana, Sasa ndio utambue pia Baraka zimefichwa kwenye muda pia, Kuna muda unaambatana na Baraka na kinyume chake, muda wa kuzaliwa muda wa kufa, muda wa kupanda muda wa kuvuna, muda wa kulia muda wa kucheka n.k
NB: Jizoeshe kuomba kwa bidii juu ya muda/wakati/majira yakujie na Baraka na hata kama hakuna Baraka basi yasije na mikosi / balaa au nuksi hii itafanya maisha yako yawe mazuri na mepesi

4. Mlango Eneo/Mahali
Lango hili ni sehemu mtu alipopangiwa aishi na kufanikisha kusudi lake la kuishi duniani, mfano Mtume Paulo aliitwa kuhubiri kwa ajili ya Mataifa alipokua anahibiri kwa wayahudi alipata misukosuko mikubwa ikiwa pamoja na kupigiwa nusu ya kutolewa uhai, ila alipopelekwa Roma aliachiwa huru na hakushtakiwa kwa lolote Wala kushambuliwa alipokua anahibiri Roma, hiyo pia ipo kwa watu mbalimbali mfano mtu anaweza akawa na maisha magumu eneo fulani ila akahama na kwenda kufanikiwa eneo lingine
NB: Ni muhimu kujifunza maeneo ambayo tunaendana nayo au yamebeba mafanikio yetu ili tuweze kufanikiwa katika maisha yetu kupitia Baraka zilizowekwa katika eneo/mahali husika kwa ajili yako.

5. Mlango Watu,
Baraka au Riziki zimefichwa kupitia watu, Kuna msemo mmoja unaosema "kila kitu unachokihitaji Kuna mtu au watu wanacho na wanaweza kukupatia" shida ni namna gani unaishi na hao watu? Inaweza Mlango wa Baraka kupitia watu ukawa Mzazi, Ndugu, Mtoto, Mwalimu, Rafiki, Kiongozi, Bosi, Mfanyakazi,Mpita Njia au hata adui na mtu yoyote ndio maana unatakiwa kuwa mkarimu na muungwana kwa watu kwani wamebeba njia ya mafanikio yako, Waswahili wanasema "Ongea na Watu Upate Viatu " mfano, Baba wa Imani Ibrahimu kwa ukarimu wake alijikuta anawakaribisha Malaika nyumbani kwake na kupata jawabu la Ombi lake la Muda mrefu la kupata mtoto
NB: Heshimu kila mtu hujui ni nani aliyebeba wokovu au mauti yako, hata kwenye kazi mara nyingi wanataka uwe na mareferees

6.Mlango Karama/ Kipawa
Mlango huu unahusisha vipaji, karama na uweza uliowekwa ndani ya mtu, wapo watu wengi wamefaniliwa kupitia vipaji vyao na karama mfano, wanamuziki, wanamichezo, waigizaji, wanasiasa, wachungaji, mitume na manabii, wanasayansi, walimu, madaktari n.k
NB: Ni muhimu kujua kipaji chako ni Nini ili uwekeze kwenye hicho kipaji maana kimebeba baraka mafanikio yako

7: Mlango Cheo/Nafasi
Lango hili linakupa fursa ya kupokea Baraka au balaa pia. Watu wenye Cheo kwenye Jamii wamaombewa sana Baraka na watu wanaowahitaji na kuwategemea na Kuombewa balaa kwa wale maadui zao, na kila nafasi katika ulimwengu imepewa daraja lake na maslai yake, pia mamlaka ndani yake, hivyo mtu unapokua kwenye Nafasi una nafasi ya kupandishwa zaidi au kushushwa kumtegemea na utashi wako, umuhimu wako, Maarifa na ufanisi wako, mfano mtu akiwa na mamlaka au wadhifa fulani mambo yake na watu wake wa karibu yananyooka sana, viongozi wengi ni matajiri, mabosi wengi Wana maisha mazuri, watu wazima wengi wanamiliki, wanaume wengi ni watawala hii ni kutokana na Cheo/Daraja/Nafasi walizonzao

Hivyo hiyo ndio Milango Muhimu Saba ya Baraka iliyojadiliwa hapo juu ni muhimu kuzingatiwa na kila mtu ili maisha yake yaende vyema,
Inashauriwa kila muda kuhakikisha Milango isiyopungua mitatu iwepo wazi kwa ajili ya kupitisha baraka na kuleta uwiano mzuri katika maisha ya mtu.

Reference
Mwalimu Mgisa Mtebe
Mwalimu Christopher Mwakasege
Mwalimu Sunbella Kyando
Pastor John Sembatwa
Mwalimu George Mukabwa
Joel Nanauka
Umesomeka vizuri,ubarikiwe sana...
 
Hili la mlango eneo Ata Mimi imenitokea Sana. Nikiishi vijijini Mambo yangu yanaenda vizuri Sana Ila Nikiishi Mjini Mambo yanakuwa magumu Kwetu Dar Ila kwa sasa nipo Dodoma vijijini nakunywa komoni maisha mazuri kabisa Kama mwana Kijiji wa huku.
 
Back
Top Bottom