stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Wewe kama mimi nina allergy na Dar,ila sijui nifanyeje ili nichomoke...Hili la mlango eneo Ata Mimi imenitokea Sana. Nikiishi vijijini Mambo yangu yanaenda vizuri Sana Ila Nikiishi Mjini Mambo yanakuwa magumu Kwetu Dar Ila kwa sasa nipo Dodoma vijijini nakunywa komoni maisha mazuri kabisa Kama mwana Kijiji wa huku.