Jamestanzania
Member
- Oct 21, 2022
- 21
- 11
Msaada wenu namna ya kumpata mdau ambae ana tengeneza milango halisi ya mninga.'
Asanteni.
Asanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoa gani chief?Msaada wenu namna ya kumpata mdau ambae ana tengeneza milango halisi ya mninga.'
Asanteni.
Kuna wauza milango sio poa kabisa. Nilinunua mlango jamaa akanambia huu ni mninga. Nikamwambia mbona Albino,Wema sepetu na konde boy wamo humo?
Jamaa akasema hio mix ya mninga halisi, kutokana mimi si mtaalamu wa mbao nikabeba. Nimeweka kwenye nyumba baada ya miezi sita mlango umekuwa kama Chidi Benz nikasema hapa nimepigwa[emoji1787][emoji1787]
Mkoa gani chief?
Top; fremu inaweza kufika laki 2.5 bei ikiringana na fremu za chumaLaki 6 ni frame au ni top ya mlango?
Uko mkoa gani?Msaada wenu namna ya kumpata mdau ambae ana tengeneza milango halisi ya mninga.'
Asanteni.
Uko mkoa gani?
Tafuta mchiiyo aka loliondo imejaa huko marangu, bei rahisi, 14k/pc, ngumu kuliko mningaKilimanjaro mkuu, maeneo ya Marangu ndiko nyumba iliko.
Nenda Moshi mjini kwa mbonika funiture au rudi bomang'ombe gezaulole kwa lameck funitureKilimanjaro mkuu, maeneo ya Marangu ndiko nyumba iliko.
Nchi yetu ni nchi ya ajabu sana. Kwenye kila ufundi wengi ni matapeli au hawana ujuzi. Nakumbuka siku za nyuma kuna fundi alishakimbia na mbao zetu za mninga. Au wengine wanaweza kukubadilishia. Na wengine unakuta hawana ujuzi wanaharibu na hawana fedha ya kulipa. I hope utapata members hapa watakumbia lakini uwe makini sana kwani hapa pia wapo matapeli.Asante sana. Niko Moshi Kilimanjaro mkuu.
Nchi yetu ni nchi ya ajabu sana. Kwenye kila ufundi wengi ni matapeli au hawana ujuzi. Nakumbuka siku za nyuma kuna fundi alishakimbia na mbao zetu za mninga. Au wengine wanaweza kukubadilishia. Na wengine unakuta hawana ujuzi wanaharibu na hawana fedha ya kulipa. I hope utapata members hapa watakumbia lakini uwe makini sana kwani hapa pia wapo matapeli.