ahmedjuma4
Senior Member
- Jul 16, 2019
- 103
- 217
Mbwembwe tupu. Mlango ukifungwa unalia mabati bhaaaaaHabari wadau. Naomba niende kweny maada moja kwa moja. Kitaalamu unaweza kushauri mjenzi atumie kipi kati ya mlango wa mbao au chuma
Mfano wa mlango wa chuma huo hapo chiniView attachment 2500097
Huku kwetu mchwa ni balaa. Wanatafuna milango,madirisha,makenchi, papi, fremu na chochote cha mbao.Tufanyeje -hatuna namna.Tuachane na mageti kama tuko gerezani
[emoji16][emoji16]Tuachane na mageti kama tuko gerezani
Hapo naelewa,Huku kwetu mchwa ni balaa. Wanatafuna milango,madirisha,makenchi, papi, fremu na chochote cha mbao.Tufanyeje -hatuna namna.