Milango ya chuma Vs Milango ya Mbao

Milango ya chuma Vs Milango ya Mbao

ahmedjuma4

Senior Member
Joined
Jul 16, 2019
Posts
103
Reaction score
217
Habari wadau.

Naomba niende kweny maada moja kwa moja. Kitaalamu unaweza kushauri mjenzi atumie kipi kati ya mlango wa mbao au chuma

Mfano wa mlango wa chuma huo hapo chini

Screenshot_20230128_111754_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom