Jina langu lipo kwenye listi ya watu watakaowekewa umeme ndani ya wiki moja!
Mradi wa Muhimbili unaendelea vizuri.
Hata mimi nilikuwa nime-target mradi huo wakati nanunua kiwanja hapo.
Unajua tena, in real estate LOCATION is everything!@binjo