Mpenda Uzalendo
Senior Member
- Dec 18, 2015
- 112
- 58
- Thread starter
- #21
Jina langu lipo kwenye listi ya watu watakaowekewa umeme ndani ya wiki moja!Miaka 5 mbeleni kutakuwa na biashara sana maeneno hayo.
Bila shaka umeme wameshamalizia kipande hicho kuweka.
Vipi na mradi wa Muhimbili ndogo unaendelea pande hizo?
Tarajia ugeni.
Mradi wa Muhimbili unaendelea vizuri.
Hata mimi nilikuwa nime-target mradi huo wakati nanunua kiwanja hapo.
Unajua tena, in real estate LOCATION is everything!@binjo