Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Hatari sana hiyo kituMaarufu kama Derby della Madonnina
Ngoja tuone kama Gattuso anaweza kuwafunga Inter?Hatari sana hiyo kitu
Ila na ya leo inasisimua wengi tukizidi kustaajabu maajabu ya kamanda Gattuso ...
Kama naiona droo leoNgoja tuone kama Gattuso anaweza kuwafunga Inter?
Mimi mwenyewe nimeona zimeahirishwa.Match zote zimeahirishwa kwa sababu ya msiba
R.I.P Davide AstoriMatch zote zimeahirishwa kwa sababu ya msiba
Davide Astori- Fiorentina captain and Italy international footballer amekutwa amefariki katika chumba chakeMimi mwenyewe nimeona zimeahirishwa.
Msiba wa nani huo mpaka game zinasimama...?