Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Miaka kadhaa ya nyuma ukiskia kuna game kama ya hivi leo AC Milan vs Inter Milan.. basi hizi game zetu uchwara za kina Man City vs Chelsea & Barca bs Atletico huwa hazina nafasi kwiki hiyo kutokana na uwepo game hili la kitemi 'Milano Derby'.
lakini zilikuwa ni Milano hzo za miaka ya nyuma zilizokuwa na nyota kama..
Maldini.
Nesta.
Cafu.
Serginho.
Gattuso.
Pirlo.
Seedorf.
Rui Costa.
Kaka.
Inzaghi.
Shevcenko.... AC MILAN.
INTER MILAN..
Toldo.
Cordoba.
J Zanetti.
Kily Gonzalez.
Stankovic.
Tiago Motta.
Milito.
Cambiasso.