msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
wewe mawazo yako siku zote ni yakiibilisi tuHujamwelewa mleta mada.
Anazungumzia kaliwa mzigo na dogo baada ya kupewa maneno matamu bila kutegemea akachanua
Kumbe Rufiji mm nimepewa mke kwa wadigo ambao wanalijua draftnimepewa mke rufiji kwa mchezo huu
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Kumbe hadi ninyi macute hua mnacheza draft?
Cute drafit u posted it in wrong I'd?Yani Leo nahis nimefungwa supa na MTU asiejua (sina uhakika kama ile ilikuwa ni supa kweli au kulikua na kete ya kutokea) maana nlihis kama supa inakuja hlf sikumalizia game nikamwambia tu huyo jamaa kuwa kashinda...huyo mtu anafungwa na dogo ninaemwonea kwenye draft..draft mchezo wa kifala sana ule..roho inaniuma 😡😡[emoji24][emoji24]
SITOKAA NIJE KULICHEZA TEENA
we ulivo parapacha na tutusa wa kiwango cha SGR nani akupe mke..!?labda kama uyo mke alikua hana maziwanimepewa mke rufiji kwa mchezo huu
itakua kajisahau....hahaaaaa ndo mana kuna mwamba anamuitia pm akamfunze draftCute drafit u posted it in wrong I'd?