Milele na milele sitokaa tena nije kucheza draft wala kuliangalia

Milele na milele sitokaa tena nije kucheza draft wala kuliangalia

naupenda sana huu mchezo hasa hasa french wenye vimbele mbele vya kukimbiliaga king nawannyonyoa kama mbuni[emoji23][emoji23]
 
Yani Leo nahis nimefungwa supa na MTU asiejua (sina uhakika kama ile ilikuwa ni supa kweli au kulikua na kete ya kutokea) maana nlihis kama supa inakuja hlf sikumalizia game nikamwambia tu huyo jamaa kuwa kashinda...huyo mtu anafungwa na dogo ninaemwonea kwenye draft..draft mchezo wa kifala sana ule..roho inaniuma 😡😡[emoji24][emoji24]

SITOKAA NIJE KULICHEZA TEENA
Cute drafit u posted it in wrong I'd?
 
Back
Top Bottom