ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kama unaona sio uchafu nenda kayafanyeUchafu wa nini?
Siungi mkono ushoga lakini kusema uchafu, lazima udadavue uchafu gani?
Je mapenzi ya jinsia tofauti ni usafi?
Unauliza maswali ya kijinga
Yaani wewe unaona kiasilinni sawa mwanaume kufanya ngono mwanaume au mwanamke kufanya ngono na mwanamke