Kama unaona sio uchafu nenda kayafanyeUchafu wa nini?
Siungi mkono ushoga lakini kusema uchafu, lazima udadavue uchafu gani?
Je mapenzi ya jinsia tofauti ni usafi?
Dah, tuombe uzima kutoka kwa muumba. Jitahidi iwe mapema kidogo, ikiwezekana toa taarifa kupitia uzi huu ni lini! Ikikupendeza lakini na siyo lazima!Tuishie hapa. Labda, nitarejea tena kwa tukio la kifo cha aliyekuwa mwigizaji nyota nchini, marehemu Steven Kanumba.
Umepaniki bure mdau.Kama unaona sio uchafu nenda kayafanye
Unauliza maswali ya kijinga
Yaani wewe unaona kiasilinni sawa mwanaume kufanya ngono mwanaume au mwanamke kufanya ngono na mwanamke
Ngono ya jinsia tofauti ni jambo zuri na hakika ni usafiUmepaniki bure mdau.
Hakuna swali la kijinga hapo, umesema neno 'uchafu' ulitakiwa kujibu sasa kama kufanya ngono jinsia tifauti(mwanamke na mwanaume) kama ni usafi, full stop.
umemuumbua manina zake.
wasukuma hawana dini. dini kwao geresha. ni watu katili sana wanajificha kivuli cha uungwana wa machoniUnatoa uhai kwa ujira wa laki name..
Kuna mtu juzi kafungua thread anawaambia umuhimu wa kuwa na silaha ukiwa mkoa wa mwanza maana mauaji ni dakika tu.
Mtu hata akipewa laki kamponde tofali la kichwa Fulani fasta anakuja.inasikitisha
Hii alikufundisha Habibu B AngaKama kumbukumbu zangu ziko sawa nakumbuka tumewahi kubishana sana kuhusu hili.
Mimi nikisema kila uhalifu huacha alama, wapelelezi makini ndio hugundua alama hizo.
There’s no such thing as a perfect crime.
leo ndio umeona umuachie? hata asitupostie maana utamu ukitukolea huku wewe utatia kitumbua mchanga mtauvuruga au tuelewane mmalizane na mahaa yenu kabisa akipost apost moja kwamoja mambo ya kusubirishwa kama njia ya mtoto ifunguke atoke hatuwezi japo sjatumwa lakini naiwakilisha ile kamati ya roho mbayaShukrani b... Haya, tuisubiri hiyo siku utakayoshushiwa neema ya kutuandikia yaliyojiri kwenye kifo cha Kanumba.
Natamani kufahamu kiundani, najua utaandika ambayo hatujawahi kuyasikia.
ukiachilia ujambazi,...mauaji mengi yana uwalakini mkubwa sana ndani yake,.....binadamu ni majeuri sana,.....dawa ni kudili nao in another means,.....unaweza kusympathise mauaji kumbe mtu aliuanza ubaya. kuna jamaa fulani miaka ya nyuma alimdhulumu jamaa yangu milioni 12 huku akimtolea maneno ya kishujaa. akaja kuwekewa mtego akajaa. kilichotokea nikajua kila mtu ana ukatili ndani yake. waliokua hawajui walimuonea sana huruma jamaa na alikua hasemi ukweli wa mambo wa yeye kutendewa alichokuja kutendewa.
100%. mfano mwingine si mwarabu wa Tanga waliyemuua na familia yake wakaua mke na dada wa kazi. aliwadhulumu wadau mambo ya madini. sema walizingua kumuua mke na mdada wa kazi. wangedili na mhusika pekeeukiachilia ujambazi,...mauaji mengi yana uwalakini mkubwa sana ndani yake,.....binadamu ni majeuri sana,.....dawa ni kudili nao in another means,.....
Hii ndio inayofanya tuwe makini katika kuchagua watu wa kuwa nao karibu,..,.... kwanzia marafiki mpaka wapenzi,...100%. mfano mwingine si mwarabu wa Tanga waliyemuua na familia yake wakaua mke na dada wa kazi. aliwadhulumu wadau mambo ya madini. sema walizingua kumuua mke na mdada wa kazi. wangedili na mhusika pekee
dayfat ni mkali hivi duh
Shanha na weweUchafu wa nini?
Siungi mkono ushoga lakini kusema uchafu, lazima udadavue uchafu gani?
Je mapenzi ya jinsia tofauti ni usafi?
Hana la kusema anaomboleza vifo vya Maulamaa wa Hamas na HizbollahUbini wa majina yao sasa.
Je Dada Faiza Foxy analo la kusema?