Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

Status
Not open for further replies.
Mbona huzungumzii kampuni inayojenga uwanja wa ndege wa chato kuwa na uhusiano na boss wenu, na kupata kandarasi kinyume cha sheria na taratibu?
 
Milioni 866 na laki sita yaani siwezi shangaa unaijua kampuni vizur kuliko hata wao?
 
Jadili pesa yako ya mfukoni,wewe ni mkaguzi mkui wa mahesabu?
 
wewe unasema uzushi, tupe taarifa tofauti na hii, otherwise muwajibike.
taarifa tofauti ni kuwa huo ni UZUSHI UZUSHI TENA UZUSHI KALIPWA JE HAKUFANYA HIYO KAZI WEWE HUKULIPWA KWA KUWA HUKUIFANYA NIYO KAZI je mahakama ya mafisadi imefungwa au ndio ...... bac sawa
 
Zimelipwa kwa shughuli/kazi gan ?? lete maelezo kamili, je kias kilicholipwa hakilingan na kazi waliyofanya ? Kaa utulize akiri na uandike vizuri.
 
Basi nchi hii tuna bahati mbaya. Kama kweli CDM kuna mazezeta, nadhani mazezeta zaidi wako upande mwingine, kiongozi hajui Kiswahili, hajui Kiingereza sasa mnajuaje kama anajua mambo mengine? Nyie ndo Mazezeta squared
Usitoke kwenye context.
 
Zimelipwa kwa shughuli/kazi gan ?? lete maelezo kamili, je kias kilicholipwa hakilingan na kazi waliyofanya ? Kaa utulize akiri na uandike vizuri.
Ndugu, Si usome ripoti ya CAG?
 
Kweli mnaitakia mema Chadema wana CCM!nilidhan ni vizuri adui ukimwacha aendelee kukosea;waambieni wamuache Mbowe kuwa M/kiti ili waendelee kujichimbia kaburi au mimi ndio sielewi.BTW huyu shemeji ana mume?naomba picha yake full maana wamigombani hawa sometimes usizuzuke na passport size pic
 
Ngoja watu wake waje kumtetea mkuu wao, watakwambia mbowe ndio kiongozi nambari moja duniani wa upinzani,

Utaambiwa ruzuku ya chama huwa inatunzwa ili kumfariji mwenyekiti katika mapambano
 
Mbowe kidogo adake dili la kujenga airport just thinline
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom