Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

Status
Not open for further replies.
Shu
Shut up, Mbowe ni mfanya biashara, mwanaisha. Kama fedha imelipwa Kihalali kwa huduma kampuni yake iliyotoa, hakuna tatizo. Naomba ufuatilie issue ya Lugumi
 
Acha hizo!!! Nani alikudanganya mie nafagilia mwizi/fisadi kwa vile yuko Chadema!? Uwe unanisoma kwa makini. Kama kuna wizi basi sheria iachwe ifuate mkondo wake.
Mmh!! Hahah mkuu.

Kutoka moyoni?
 
Reactions: BAK
Shu

Shut up, Mbowe ni mfanya biashara, mwanaisha. Kama fedha imelipwa Kihalali kwa huduma kampuni yake iliyotoa, hakuna tatizo. Naomba ufuatilie issue ya Lugumi
Kwaiyo sawa sawa kutoa mfuko mmoja kuamishia mfuko mwingine wa suruali hiyo hiyo?
 
Sinaga unafiki mie kwenye kusimamia haki na sheria au lolote lile. Sheria ni msumeno ikate pande zote mbili bila kujali huyu wa CCM au wa Chadema ali mradi tu kuna ushahidi tosha wa wizi/ufisadi

Mmh!! Hahah mkuu.

Kutoka moyoni?
 
Lakini jamani tuangalie mbona kama ndogo hivi ni chenji tuu madege mnapiga kwa madola
 
Sinaga unafiki mie kwenye kusimamia haki na sheria au lolote lile. Sheria ni msumeno ikate pande zote mbili bila kujali huyu wa CCM au wa Chadema ali mradi tu kuna ushahidi tosha wa wizi/ufisadi
Kwa mara ya kwanza kusikia kauli kama hii kutoka kwako ili tukiangalia maslahi mapana ya nchi kuliko kichama tutafika mbali.

Hongera sana mkuu.
 
Acha kuchanganya mada hapa tunazungumzia utafunaji wa pesa wewe unaleta habari nyingine,nadhani ulipata divisheni 0 kwenye mtihani wako wa kidato cha Nne.Uelewa wako ni mdogo sana.
kama wa baba yako
 
Wewe kweli kilaza, hayo malipo yalilipwa kwa sababu gani? Haitoshi kusema tu ni kampuni ya mbowe na inaongozawa na shemeji yake, so what?

Halafu yamekusanyana humu eti yanakuja kuhalalisha uozo wa ccm vs chadema. Hahhaaa inekula kwenu
 
KWA HIYO NI SAWA KINA MBOWE KUFISADI PESA ZA WALIPA KODI KWA KUWA KUNA WATU WAMEFANYA HIVYO?
Wewe rudi huko ukajipange na propaganda zako za kijinga, umesema kampuni ililipwa kwani mtu au kampuni kulipwa ndio Ufisadi?
 
Dictator anakula vya walevi kiulaini
 
Maumivu ya kichwa huanza taratiibu na ndio maana mwenyekiti hutaki kuachia chama maana hukwenda kuongoza bali umekwenda kufanya maisha dah kweli mbowe kiboko na kwa style ndio unataka u raisi?? Ili shemeji ashike wizara ya fedha?? Na kampuni yako ndio iwe NIDA mpige pesa?? Kwaheri saccos
 
KWA HIYO NI SAWA KINA MBOWE KUFISADI PESA ZA WALIPA KODI KWA KUWA KUNA WATU WAMEFANYA HIVYO?
Wastaafu huwa hawalipwi mafao yao ya mwezi kwa wakati kutokana na ukosefu wa fedha, je, na ile shule ya Bukoba inayomilikiwa na ccm ambayo imekarabatiwa kwa michango ya tetemeko kisha iuziwe serikali! Huu ni utapeli, kama kuuzwa ingeuzwa kabla ya ukarabati na si baada.
 
Freeman mboe
John pombe magufuli
wote wakahojiwe police Kwa matumizi mabaya ya kodi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…