Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

Status
Not open for further replies.
Sisi hatutaki kujua hayo mambo ya Chadema maana sisi hatuwalipi kodi hao. Tunachotaka kufahamu ni Trillion 1.5 kodi zetu ziko wapii!?
 
jikite kwenye mada ..hapa tunazungumzia ufisadi wa Mbowe
Hii unayoafanya ni spinning ya kitoto.

Lipi muhimu, ni kupambana na ufisadi au ufisadi wa kiitikadi? Mimi nachukuia sana ufisadi na napambana na ufisadi bila kujali/kuangalia rangi wala itikadi kwa sababu nataka Tanzania bora kwa kila Mtanzania bila kujali kabila, itikadi wala jinsia.
 
Mie ni CDM, lakini kama CCM wamefanya hivyo haina maana na CDM nao tufanye hivyo. Hizi ni tuhuma nzito kwa CDM zinazopaswa kuchunguzwa. Tusifiche maovu yetu maadam tu CCCM wanayafanya hayo. Tutajipambanua vipi?
 
Rudisheni hela za kwenye mfuko wa jamii ule

Ova
 
Sisi hatutaki kujua hayo mambo ya Chadema maana sisi hatuwalipi kodi hao. Tunachotaka kufahamu ni Trillion 1.5 kodi zetu ziko wapii!?
Huenda hujajua kwamba kodi zetu zinatumika kuwapa watu na vyama vyao hela inayoitwa Ruzuku.
Tutahoji kila taasisi iwe serikali au vyama kama vinatumia fedha vibaya la sivyo vikatae kuchukua ruzuku iliyo kodi yetu raia wote hata tusio na vyama
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…