Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii unayoafanya ni spinning ya kitoto.jikite kwenye mada ..hapa tunazungumzia ufisadi wa Mbowe
Mie ni CDM, lakini kama CCM wamefanya hivyo haina maana na CDM nao tufanye hivyo. Hizi ni tuhuma nzito kwa CDM zinazopaswa kuchunguzwa. Tusifiche maovu yetu maadam tu CCCM wanayafanya hayo. Tutajipambanua vipi?Hivi hii so called UFISADI MKUBWA CHADEMA unalingana na zile 1.5 TRILIONI alizokwapua malaika wenu?
Maana tangu nimeanza kuona hii habari, naona hizo pesa zinazosemwa kupigwa na Mbowe hazifiki hata nusu ya hizo alizopiga malaika wenu!!
Naaaaa vipi CCM kuchukua mpunga kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kinyume na sheria...sio UFISADI MKUBWA???
Oooops!!!! Akili yang ndogoooo ama...kama sielewi vileee[emoji23][emoji23]
Ruzuku wanayopewa Chadema kwa akili zako mfu unadhni zinatoka wapi?Sisi hatutaki kujua hayo mambo ya Chadema maana sisi hatuwalipi kodi hao. Tunachotaka kufahamu ni Trillion 1.5 kodi zetu ziko wapii!?
Doh! blaza mbona umepanic na wewe umehusika kwenye 1.5 nini?Ruzuku wanayopewa Chadema kwa akili zako mfu unadhni zinatoka wapi?
Huenda hujajua kwamba kodi zetu zinatumika kuwapa watu na vyama vyao hela inayoitwa Ruzuku.Sisi hatutaki kujua hayo mambo ya Chadema maana sisi hatuwalipi kodi hao. Tunachotaka kufahamu ni Trillion 1.5 kodi zetu ziko wapii!?