*•KAMPUNI YA MS.MILESTONE ILIYOCHOTA PESA HIZO YABAINIKA INAMILIKIWA KWA UBIA KATI YA MBOWE NA FAMILIA YA MTEI.*
*•WATUMISHI MAKAO MAKUU CHADEMA WALIA NJAA HAWAJALIPWA MISHAHARA MIEZI 9*
Katika ripoti ya CAG ukurasa 266 taarifa inaweka wazi UFISADI NA UTUMIAJI MBAYA WA PESA ZA WALIPA KODI AMBAZO CHADEMA WALIPASWA KUTUMIA KWA MANUFAA YA WATANZANIA.
Nianze kwa kuinukuu taarifa ya CAG inasema,
"...mkopo ambao hakuthibitishwa mapokezi yake ndani ya chama cha CHADEMA, mnamo tarehe 11/April, manejimenti ya CHADEMA,mkopaji iliingia makubaliano na MWANACHAMA wake MKOPESHAJI kuhusu kukopeshwa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwa shughuli za chama. HAKUNA NYARAKA zinazo onesha kiasi cha mkopo walichokubaliana kikitolewa na kupokelewa na chama husika,lakini tarehe 26/ Agosti, kiasi cha shilingi milioni mianane sitini na sita, kililipwa kwa mwanachama kwa naiba ya chama kwaajili ya mabango ya matangazo yaliyotolewa na kampuni ya MS MINSTONE INTERNATIONAL, CO LTD, nje ya Deni hilo. Kiasi cha shilingi milioni miasaba kumi na tano kililipwa kwa mwanachama kama marejesho ya fedha iliyokopwa kulipia ununuzi wa mabango bila ya kuambatanisha makubaliano ya kisheria. Ukaguzi wangu wa taarifa ya makusanyo ya chama umebaini kiasi cha shilingi bilioni mbili milioni miatatu na mbili lakitatu na tano elfu miatano kilikusanywa bila kuingizwa kwenye akaunti ya wadhamini. Hazikupelekwa benki na matumizi yake hayakutolewa kwaajili ya ukaguzi.
Kutokupeleka makusanyo benki kunaonesha chama kutokua na mfumo mzuri wa udhibiti wa fedha.
Manunuzi yaliyofanyika, nimebaini kuwa, chadema kimefanya manunuzi ya bidhaa huduma zenye thamani ya shilingi BILIONI ISHIRINI NA NNE MILIONI MIAMBILI KUMI NA SITA, LAKISITA NA ISHIRINI NA TANO ELFU, MIATANO NA SITA BILA KUFUATA UTARATIBU..." mwisho wa kunukuu taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali.
Kampuni ya Milestone International Co. Ltd iliyochota kiasi cha 866,600,000 kwa mujibu wa kumbukumbu za usajili wake
mmiliki wake ni Freeman Mbowe, na Managing Director ni Shemeji yake wa kike aitwaye, Kineneko Mtei mdogo wake Dr. Lilian Mtei, mke wa ndoa wa Freeman Mbowe.
Nina wapa changamoto wale wote mnaoamini mko pamoja na akina Mbowe;
Mtu anatunga madeni harafu mnaambiwa ukamanda, chama hakina jengo lake lenye hadhi ya chama kinachotarajia kushika dola.
Mnaongopewa kuwa chama kimenunua pikipiki, nanyi mnakubali bila kufanya mahesabu ya makusanyo na kulinganisha na pikipiki zilizopo. Mbaya zaidi pikipiki 900 zilitolewa kwa msaada wa CDU-UJERUMANI. Magari 9 yalitolewa na CDU-UJERUMANI, lakini akina Mbowe, ilikuwafanya wanachama ninyi kuwa mazuzu, wameyaandika magari namba kubwa za ubavuni huku wakiwadanganya kuwa yapo zaidi ya 200.
Chama chenye wanasheria wazuri kinawezaje kukosa nyaraka za kisheria juu ya matumizi ya fedha?
Chama kinalipaje madeni ya mabilioni ambayo hayapo popote panapoonesha walikopa?
Chama kinakusanyaje fedha na hakiweki kwenye acount ya wadhamini kama taratibu zinavyotaka?
Mbowe amekuwa bingwa wa kukidai chama kila mwaka na kila nyakati. Amekua akitumia nguvu kubwa hata kuhonga pesa ili mradi tu wenye kuhoji ndani ya chama wamuunge mkono. Amekuwa akifanya CHADEMA taasisi yake binafsi.
Mfano MSIGWA NA SUGU kuna wakati walihoji sana juu ya JOHN MREMA kupokea Rushwa katika zoezi la kutafuta viti maalumu na kupendelea baadhi ya watu. Lakini Mbowe akaona ili kuwaziba mdomo jamaa ni kuwateua kuwa wajumbe wa kamati kuu. Nao sahizi wamekaa kimya kwasababu wanamuogopa. Hii ni haibu kwa chama kinachojinasibu kukosoa serikali.
Mbowe ni mtu anayanufaika na fedha za Chadema kwani anachota tu atakavyo na hiyo ndio inatajwa kuwa sababu ya yeye kutopenda kuachia madaraka ya Uenyekiti.
Mbowe anapanga matukio kama vile maandamano ili kuwasahaulisha wanachama wake kufuatilia uendeshwaji wa ndani wa chama hicho hivyo kutoa mwanya wa yeye kufanya ufisadi ndani ya chama hicho.
Wakati huo huo imebainika kwamba watumishi wanaofanya kazi makao makuu ya Chadema hawajaliowa mishahara yao kwa takribani miezi tisa sasa.
Watumishi hao wameshindwa kupata mishahara kwa kipindi chote hicho na kila wanapoulizia wanajibiw kwamba chama hakina hela .
Hiyo ndio Chadema iliyojipambannua kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania kumbe ni chama cha kikuu cha hovyo Tanzania.
SIKU MKIJUA KUWA VIONGOZI WENU WA CHADEMA HAWANA DHAMIRA YA KWELI NA WANACHOKIITA UKOMBOZI MTAPATA AIBU KUBWA.