Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Mimi nataka ya kilimo nimeona china wanatumia kumwagilizia dawa je naweza pata
Nasikia isipokuwa na leseni ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege basi wewe hela inakuhusuKwenu Photographers,video graphers,surveyors,real estate managers,tourists nk.nawaletea drone hii yenye sifa zifuatazo
•4k camera
•2 axis Gimbal
•1.2 kilometre flying range
•25 minutes flight time per battery
•5Ghz frequency
•Obstacle avoidance sensor
•Orbit mode
•LED lights
Price:500,000/=
Kimara Dar es salaam
Call/whatsaap:0757187238
Free delivery in Dar
View attachment 3147778
Hii nchi dah!Nasikia isipokuwa na leseni ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege basi wewe hela inakuhusu
Hizi wale wazee wa Aviation wanaruhusu kweli? Au mpaka vibali
Nasikia isipokuwa na leseni ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege basi wewe hela inakuhusu
Ninataka kufahamu haya.
1. Hii zako zinahitaji kusajiriwa mtu akinunua?
2. Utaratibu na gharama za kusajiri zikoje?
3. Kwa watu wa mikoani, mzigo anapataje?
4. Betri ya charge inachukua muda gani kuchajiwa?
5. Betri ikiisha charge hewani, nini kinatokea?