Miliki Drone yako sasa

Miliki Drone yako sasa

Mafian cartel

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2021
Posts
3,876
Reaction score
7,118
Kwenu Photographers,video graphers,surveyors,real estate managers,tourists nk.nawaletea drone hii yenye sifa zifuatazo

•4k camera
•2 axis Gimbal
•1.2 kilometre flying range
•25 minutes flight time per battery
•5Ghz frequency
•Obstacle avoidance sensor
•Orbit mode
•LED lights

Price:500,000/=

Kimara Dar es salaam
Call/whatsaap:0757187238
Free delivery in Dar
IMG_3073.jpg
 
Kwenu Photographers,video graphers,surveyors,real estate managers,tourists nk.nawaletea drone hii yenye sifa zifuatazo

•4k camera
•2 axis Gimbal
•1.2 kilometre flying range
•25 minutes flight time per battery
•5Ghz frequency
•Obstacle avoidance sensor
•Orbit mode
•LED lights

Price:500,000/=

Kimara Dar es salaam
Call/whatsaap:0757187238
Free delivery in Dar
View attachment 3147778
Nasikia isipokuwa na leseni ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege basi wewe hela inakuhusu
 
1.2 kilometre flying range
•25 minutes flight time per battery
 
Ninataka kufahamu haya.
1. Hii zako zinahitaji kusajiriwa mtu akinunua?
2. Utaratibu na gharama za kusajiri zikoje?
3. Kwa watu wa mikoani, mzigo anapataje?
4. Betri ya charge inachukua muda gani kuchajiwa?
5. Betri ikiisha charge hewani, nini kinatokea?

1.Haina haja ya kusajili

2.Usajili ni $100 kwa mwaka

3.Utalipia kisha tutakusafirishia au kama una mtu Dar atalipia yeye kisha atakusafirishia hadi ulipo

4.Saa moja


5. Unapoendesha hii drone kwenye simu yako unaona taarifa zote muhimu ikiwemo umbali drone ilipo ,urefu,Speed,Gps Signal pamoja na charge ya battery,

Hivyo charge ikiwa inaisha unaona na utapaswa kuishusha drone kabla haijaisha kabisa

Pia charge ikiisha na kufika kiwango cha chini kabisa drone itakupa warning na itaanza kurudi yenyewe automatically kwenye point ambayo ilirukia au kwa maneno rahisi ni kwamba drone kabla haijaruka kutoka chini huwa ina rekodi Home point.

Mfano rahisi ni kama hizi ndege za abiria inavyoanza safari na kupaa kutoka kiwanjani na kwenda inapoenda,ikitokea dharura ndege itarudi yenyewe na kutua automatically pale pale uwanjani ilipotokea(huu ni mfano)

Sasa kwenye drone ndo ipo hivo charge ikiisha na kufika level ya chini kabisa drone itakupa warning na itarudi yenyewe kwenye na kutua ilipoanzia

Hichi kitendo cha drone kurudi yenyewe battery inapoisha unaweza kukizuia na ukaendelea kuiendesha charge ikiwa chini sana na itakapoisha kabisa itazima na kudondoka
 
Back
Top Bottom