Miliki duka kwa malengo

Thank you sana umenipa mwanga
 
Shukran Mkuu ila kwenye zama hizi za teknolojia achana na madaftari kuna mifumo ya kihasibu kama QuickBooks na Tally ni mirahisi sana kutumika kwenye biashara za duka na hata kufanya Stock data zinakuwa tayari Yan utafanya physical verification tu . Mifumo hii pia ni rahisi kufundishika ko usiogope.
 
Mkuu nimeweka huu wa kawaida ili iwe RAHISI kwa kila mtu mwenye computer na asiye na computer
Aweze kutumia

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Umesema faida ni % ngapi mkuu?

Kuna bidhaa wajasiriamali wananunua 44,000 wanauza 45,000...yaani cha juu ni buku kwenye 44k. Maduka ya mangi haya sio poa wakuu.
 
Umesema faida ni % ngapi mkuu?

Kuna bidhaa wajasiriamali wananunua 44,000 wanauza 45,000...yaani cha juu ni buku kwenye 44k. Maduka ya mangi haya sio poa wakuu.
Kwa mfano bidhaa gani?
Nachojua Mimi usipojua chimbo la bidhaa hutapata faida kubwa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Shida yake Ina vitu vingi unashindwa kucalculate faida [ mauzo - manunuzi ] au Kuna mbinu nyingine ya kuhisabati huwa mnatumia kutoa faida ???

Tiririka
 
Naweza pata mawasiliano yako mkuu tafadhali...yangu hiyo 0693306996 ni bipu tu kama hutojali asante.
 
Haya ndio madini sasa sio ule Uzi wa kula TUNDA KIMASIHARA
 
Hilo duka lenye mauzo mpaka 500k per day , faida unalaza ngapi?
 
Mkuu apo kuita wadada wa zuri mashemeji kunanichelewesha sana , itabid nibadilike mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…