Miliki duka kwa malengo

Miliki duka kwa malengo

Mafuta ya kupikia
Tambi
Sukar
Chumvi
Vibirit
Sabuni za mche na kuogea
Dawa za mswaki colgate whitedent
Sabun za unga
Blueband/prestige
Mchele
Unga
Ngani
Maji
Juice
Miswak
Toilepaper
Biskut
Maziwa
Dawa za mbu kupuliza
Mayai
Tissue
Madaftar/pen/pencel
Tissue
Nk
Thank you sana umenipa mwanga
 
Shukran Mkuu ila kwenye zama hizi za teknolojia achana na madaftari kuna mifumo ya kihasibu kama QuickBooks na Tally ni mirahisi sana kutumika kwenye biashara za duka na hata kufanya Stock data zinakuwa tayari Yan utafanya physical verification tu . Mifumo hii pia ni rahisi kufundishika ko usiogope.
 
Mkuu nimeweka huu wa kawaida ili iwe RAHISI kwa kila mtu mwenye computer na asiye na computer
Aweze kutumia

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Umesema faida ni % ngapi mkuu?

Kuna bidhaa wajasiriamali wananunua 44,000 wanauza 45,000...yaani cha juu ni buku kwenye 44k. Maduka ya mangi haya sio poa wakuu.
 
Kwa mfano bidhaa gani?
Nachojua Mimi usipojua chimbo la bidhaa hutapata faida kubwa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada

Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia

1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa nyakati zote za siku,
2: chunguza kwa makini waliokutangulia Wana udhaufu gani, Kisha usiwe na udhaufu kama wao
3 baada ya kufungua fanya haya
Fungua mapema, Sali/swali, ikabidhi kazi yako mikonon mwa mungu, uwe msafi, uwe na kauli nzuri kwa watu, panga bidhaa zako kwa mpangilio mzuri epuka mopo
Epuka mazoea mabaya na mabint, wake za watu
Kauli yako iwe ni moja shemeji, dada karibu
Jenga urafiki n watoto na wazee
Epuka anasa weka malengo
Funga kwa kuchelewa

UPATIKANAJI WA FAIDA
tafuta machimbo yenye bidhaa kwa Bei nzuri
Wastani wa FAIDA kwa kila bidhaa ni 25 %au Zaid
Nafaka, na vinginevyo
Kwa maana hiyo ukitoa FAIDA ya 15% tambua kuwa 10%umeiacha dukani kwa ajili ya kuendeleza kukuza mtaji

Pia Kuna bidhaa zenye FAIDA kubwa Zaid ya hiyo kutikana na chimbo ulilopata

JINSI YA KUTHIBITI KUIBIWA NA MFANYA KAZI

1: Ukishafungua duka piga stock na mtu atakayeuza
2:nunua dadtari 2 moja yako nyingine yake
3:chora daftar yako mistari kadhaa ainisha haya
Iterm name,
Idadi/kiasi
Bei ya kununua
Bei ya kuuza,
Faida
NB
Ukininua kila kitu hata kama ni pipi ingiza kwenye daftri yako kwa mfumo huo na yéye pia muelekeze afanye hivyo,

Ukitaka kupiga stock Rudi kwenye daftari lako mwambie yy pia alete lake
Jumlisheni faida zote kuanzia stock ya mwisho Hadi tarehe husika
Pia mkumbushe kuandika matumizi yote yanayotoka ukani mfano
Kodi
Ushuru wa taka
Malipo tra
Malipo manispaa
Nauli za kuleta vitu mjini
Na mengineyo
Ikumbukwe kwamba matumizi yanaweza kuandikwa kwenye daftri lilelile la kupokelea vitu vya mjini lakin figure zake ziandikwe kwenye mstari wa FAIDA Ila ziwekewe mabano ili mtu ajue hiyo hela imetoka na siyo faida

Kwa mfumo huo hata mfanyakazi akinywa soda lazima kwenye stock utakuta shoti ya 600/=

NOTE,
Kamwe usichanganye mapenzi na kazi yako utaharibu utashindwa kusimama kwenye misimamo yako kama boss au mtoa huduma kwa wateja wako

Mimi ndio ulinisaidia Hadi hapa nilipo!
Nina duka Zaid ya moja Ila Cha kumshukuru mungu Nina duka linaweza kuuza 500k Hadi 700k kwa siku
Mimi natumia mfumo huo na mara nyingi nakuwa hapo usiku tu kuwahudumia na kujua changamoto za wateja wangu na kujua nini Cha kuongezea dukani na ni kitu gani kipya kimeuliziwa na Sina,

Conclusion
Biashara ya duka inalipa Ila unatakiwa kuwa smart
Usikae muda mrefu bila kuchunguza mwenendo wa biashara yako hasa kupiga stock

Nimeambatanisha namna ya kuchora daftari lako na namna ya kuingiza data zako

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile appView attachment 2491990

Shida yake Ina vitu vingi unashindwa kucalculate faida [ mauzo - manunuzi ] au Kuna mbinu nyingine ya kuhisabati huwa mnatumia kutoa faida ???

Tiririka
 
Naweza pata mawasiliano yako mkuu tafadhali...yangu hiyo 0693306996 ni bipu tu kama hutojali asante.
 
Hilo duka lenye mauzo mpaka 500k per day , faida unalaza ngapi?
 
Mkuu apo kuita wadada wa zuri mashemeji kunanichelewesha sana , itabid nibadilike mkuu.
 
Back
Top Bottom