Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Tangu tunakua unaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha lakini hatuambiwi kitasa/kufuli la maisha ni kitu gani. Unakuwa bize kusaka ufunguo wakati hujui utautumia kufungulia nini. Listen, nia ya elimu ni kukusaidia kufungua mind yako. Mind ndio kitasa cha maisha! Usipokuwa na ufahamu wa kutosha utashindwa ku-unlock vilivyomo ndani ya mind yako na elimu ndio inakupa huo ufahamu!
Nia ya elimu sio kukupa vyeti ili ukawe mwajiriwa. Hell nooo! Kuna watu wako busy kusoma masters' ukimuuliza unasoma ya nini anakwambia "ofisini kwetu ukiwa na masters degree wanaongeza mshahara"...Is that all ur mind can think and offer? Akili zao zimefungiwa ndani ya "thermos",wanadhani ajira/career ndo kila kitu, wanaenjoy lile joto la kwenye thermos wanadhani maisha yameishia hapo.
Siku 1 thermos itafunguliwa, mtu anaambiwa you are fired. Hatutakuongeza mkataba wako ukiisha.
Tunafanya cost cutting inabidi kupunguza staff. Angalia jinsi wanavyodata. Wengine wanajiua, wengine wanapata stroke na ku-paralyse. Thermos imefunguliwa, walizoea joto sasa wamekumbana na baridi kama Urusi. Kama unasoma ili ukawe mtumwa wa mtu mwingine in the name of career wewe bado ur not educated maana una ufunguo lakini kitasa hujui kilipo.
Una degree, sawa. Una CPA, sawa. Una ACCA, sawa. Una CMA, sawa. Una Masters, sawa. Lakini kama hivi vyeti havikusaidii kutengeneza career yako mwenyewe kwa kuweza ku-ignite potential uliyonayo na kuweza kutengeneza something of ur own una ufunguo usio na kitasa.
Natamani tuelewe hili. Wewe unayesoma sasa hivi, maliza chuo ukiwa na mentality of creating ur own thing. Acha mawazo ya kutembeza bahasha.
Elimu ikusaidie kukupa ufunguo wa kupanua wigo wa jinsi akili yako inavyofikiri na siku 1 utengeneze kitu chako ambacho utakaa na kusema this is my own creation.
Hate education kama hujui kitasa kilipo, huo ufunguo hauna dili.