Miliki funguo ambayo itafungua kitasa/kufuli kwa usahihi

Miliki funguo ambayo itafungua kitasa/kufuli kwa usahihi

Kuna watu bado, watasema hawajaelewa.

Kuifanya simple ni hivi:- Maisha kama maisha yana-challenge ama obstacle mbalimbali na kila challenge ama obstacle unayokumbana nayo elewa ina-code zake ama password zake iliuweze kuivuka na kuishinda. Hivyo mwenye Elimu anakuwa anawigo mpana wa maarifa kutokana na kisomo alichosomea na kuweza kugeuza changamoto kuwa fursa.

Tunaifanya tena simple kama haujaelewa
(Changamoto ๐Ÿ‘‰ Moto ๐Ÿ‘‰ Joto ๐Ÿ‘‰ Uhai)
NB:- Kwenye kila changamoto elewa kuna njia (solution) na kwenye kila njia elewa kuna Uhai (life).
 
Ndio wewe mdogo wangu na crew yako enzi hizo unapita kwa corridor za darasa forest unaimba ?kila siku asubuhi

"mtasoma sana hadi kichwa kiongezeke upana"
Hii imenikumbusha mbali.. kuna jamaa ikifika saa 11 asb anapiga kelele korido za dom...
 
Back
Top Bottom