Kuifanya simple ni hivi:- Maisha kama maisha yana-challenge ama obstacle mbalimbali na kila challenge ama obstacle unayokumbana nayo elewa ina-code zake ama password zake iliuweze kuivuka na kuishinda. Hivyo mwenye Elimu anakuwa anawigo mpana wa maarifa kutokana na kisomo alichosomea na kuweza kugeuza changamoto kuwa fursa.
Tunaifanya tena simple kama haujaelewa (Changamoto π Moto π Joto π Uhai)
NB:- Kwenye kila changamoto elewa kuna njia (solution) na kwenye kila njia elewa kuna Uhai (life).