Miliki gari kupitia sisi kwa nusu bei

Miliki gari kupitia sisi kwa nusu bei

Mi nawatahadharisha tu wadau, hizi tamaa zimewaacha watu na matatizo sanq
wawe na amani tushauzia wengi sana magari humu akifika ofisini atapewa utaratibu mzima na documents zake zote anapewa isipokuwa kwenye card yake kutakuwa na majina mawili lake na la microfinance.

atakapo maliza mkopo wake card yake itabadilishwa na kusoma majina yake yote mawili
karibu
 
mfano kama ukilipia hyo 8.5m the rest utakuwa unailipia riba ya 3% kwa kila mwezi kwa mwaka mzima rates zao kwa microfinance ni last in first out(lifo)

kwaiyo riba siyo kubwa hivyo usiogope hapa nlikuwa namtafuta mtu wa microfinance anieleze vzuri hope nikimpata ntakuelezea vizur zaid maana toka tuanze kuuza haijatokeaga mtu aliyeshindwa kulipia
karibu
Hiyo 8.5m ambayo ndio mkopo wenyewe ukiigawa kwa miezi12 inakuja 708,333.33tsh kwa mwezi, sasa swali nililo nalo hiyo 3% niya 8.5 kwa ujumla ama niya 708333 ya kila mwezi au ndio nitalipa hiyo 708333 plus 3%per month each month mpaka na maliza! Mahesabu ya ela buuuana mtihani! Mkopo una insurance au insurance ni kwenye gari tu!?
 
Tuchukulie nimechagua gari ya Millioni 17tsh/= na vigezo vinanitosheleza kupata huduma hiyo! Nalipa 8.5m cash kisha hiyo nyingine wana cover hao microfinance 8.5m sasa kuanzia hapa ndio nataka kujua nitakutana na nini!!?
Mkuu hii ni kawaida sana kwenye biashara ya fedha.Ikiwa risk ya marejesho ni kubwa basi riba huwa ni kubwa.So kwa kawaida si jambo zuri sana na tija kukopa,hasa kwenye microfinance ili ununulie gari la hasa la kutembelea.Hapo umeona watataka bank statement yako ya miezi sita wakutathmini uwezo wako wa kurejesha ndiyo wakupe payment plan.so huyo jamaa hawezi kujibu hilo swali lako la jinsi ya hiyo 8.5 itakavyolipwa.hata akikupa atakupa formula inayowavutia wengi na kuona urahisi.ukifika huko chemba mkiwa peke yenu ndiyo unapigwa za uso.Maana watakwambia kuna mfumuko wa bei umeongeza riba.

Nashauri,tena nashauri kama hakuna ulazima usikope kununua gari la kutembelea kwenye microfinance.Iko hivi pale unapoona huna sifa za kukopa bank na watu wa microfinance wakakuona wewe unakopesheka tena bila dhamana ujue utafidia vizuri
 
Hiyo 8.5m ambayo ndio mkopo wenyewe ukiigawa kwa miezi12 inakuja 708,333.33tsh kwa mwezi, sasa swali nililo nalo hiyo 3% niya 8.5 kwa ujumla ama niya 708333 ya kila mwezi au ndio nitalipa hiyo 708333 plus 3%per month each month mpaka na maliza! Mahesabu ya ela buuuana mtihani! Mkopo una insurance au insurance ni kwenye gari tu!?
nipo road boss but naomba nkujibu hivyo hivyo
mfano gari ni ya 12m na wewe umeamua kulipia 6m hivyo bado 6m right?

hyo 6m ya deni inakuwa hivi
inakatwa 3% ya 6m first month
second month inakatwa 3% ya kile kilichobakia kwenye ile 3% ya 6m
inaenda inapungua hvyo hvyo mpaka 12 inatimia kwa maana kila in mwez riba inakuwa inapungua
karibu
 
Mkuu hii ni kawaida sana kwenye biashara ya fedha.Ikiwa risk ya marejesho ni kubwa basi riba huwa ni kubwa.So kwa kawaida si jambo zuri sana na tija kukopa,hasa kwenye microfinance ili ununulie gari la hasa la kutembelea.Hapo umeona watataka bank statement yako ya miezi sita wakutathmini uwezo wako wa kurejesha ndiyo wakupe payment plan.so huyo jamaa hawezi kujibu hilo swali lako la jinsi ya hiyo 8.5 itakavyolipwa.hata akikupa atakupa formula inayowavutia wengi na kuona urahisi.ukifika huko chemba mkiwa peke yenu ndiyo unapigwa za uso.Maana watakwambia kuna mfumuko wa bei umeongeza riba.

Nashauri,tena nashauri kama hakuna ulazima usikope kununua gari la kutembelea kwenye microfinance.Iko hivi pale unapoona huna sifa za kukopa bank na watu wa microfinance wakakuona wewe unakopesheka tena bila dhamana ujue utafidia vizuri
utaratibu atakaopewa ni mmoja tu na si lazmia tumkopeshe sisi anaweza kukopa microfinance anayoiamini au bank anayoitaka yeye hivyo tumempa wigo mpaka wa kuamua na kuchagua pia,

lengo letu ni kubakikisha kila mtanzania mwenye ndoto ya kumiliki gari anamiliki
karibu
 
nipo road boss but naomba nkujibu hivyo hivyo
mfano gari ni ya 12m na wewe umeamua kulipia 6m hivyo bado 6m right?

hyo 6m ya deni inakuwa hivi
inakatwa 3% ya 6m first month
second month inakatwa 3% ya kile kilichobakia kwenye ile 3% ya 6m
inaenda inapungua hvyo hvyo mpaka 12 inatimia kwa maana kila in mwez riba inakuwa inapungua
karibu
Apo itakuja 7,170,000 kwa iyo riba ni 1,170,000
 
mfano kama ukilipia hyo 8.5m the rest utakuwa unailipia riba ya 3% kwa kila mwezi kwa mwaka mzima rates zao kwa microfinance ni last in first out(lifo)

kwaiyo riba siyo kubwa hivyo usiogope hapa nlikuwa namtafuta mtu wa microfinance anieleze vzuri hope nikimpata ntakuelezea vizur zaid maana toka tuanze kuuza haijatokeaga mtu aliyeshindwa kulipia
karibu
Mmmh LIFO ipo na kwenye riba pia?
 
utaratibu atakaopewa ni mmoja tu na si lazmia tumkopeshe sisi anaweza kukopa microfinance anayoiamini au bank anayoitaka yeye hivyo tumempa wigo mpaka wa kuamua na kuchagua pia,

lengo letu ni kubakikisha kila mtanzania mwenye ndoto ya kumiliki gari anamiliki
karibu
Hilo siyo lengo lenu Mkuu,Lengo lenu ni kupata faida kubwa kutokana na biashara ya kuuza magari.
 
Habar,

Leo nimeamua kuwaletea habari njema kwa wale wanaopenda kununua gari lakini kipato chao au akiba yao haijafikia thamani halisi ya gari basi usihofu

Miliki gari yako kupitia sisi kwa njia zetu mbili kwa mkopo wa 50% tu na kulipia nyingine kidogo kidogo ndani ya mwaka mzimaaa

HATUA YA KWANZA
Utalipia 50% ya gharama ya gari
utatoa bank statement ya miezi 6
utaleta barua ya utambulisho wa kazini
pamoja na barua ya utambulisho mtaa

NJIA YA PILI
Utakuja kagua gari kwetu
then tutakuunganisha na microfinance
yenye bei nafuu mno ambao watakulipia hela yote then utakuwa unalipia kidogo kidogo pia ndani ya mwaka mzima baada ya kulipia hyo 50% pia

bila kusahau tunazogari aina zote used Tanzania zilizo kwenye hali nzuri na gharama nafuu namba
0623953036 calls/whatsapp
Nahitaji Premio X, ikipatikana rangi nyeusi itafaa, lakini pia hata blue bahari au Pearl

Nipe maelekezo
 
Back
Top Bottom