Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

Me ndugu yangu alinunua allion mwaka jana kwa 13M plate no DRB. Wee unasema 15 ?? ME NIKAJUA LABDA IMESHIKA KIDOGO. lakini sio kwa 15
Kainunua showroom? Kwasababu baadhi ya showroom mpaka Milioni 16 wanauza hizi Premio za 1490CC
Kuipata kwa Milioni 13 kwa showroom ni jambo gumu labda iwe ni bei ya ofa
 
Asee kanunua Allion mill 13. Haina rim, ndani haina tv. Rangi ya silver. Na kainunua showroom
 
Basi mambo yamebadilika , jaribu kucheki hiyo showroom aliponunulia hiyo uone ni sh ngapi kwa sasa.

Ila kama budget yako inabana ni bora kuchukua gari ya mkononi yenye number mpya hii utakuta tayari ishaveshwa rim na iko na tairi mpya na radio
 
Ahsante kwa ushauri bby, nakupenda[emoji7]
 
Basi mambo yamebadilika , jaribu kucheki hiyo showroom aliponunulia hiyo uone ni sh ngapi kwa sasa.

Ila kama budget yako inabana ni bora kuchukua gari ya mkononi yenye number mpya hii utakuta tayari ishaveshwa rim na iko na tairi mpya na radio
Nimeenda outojapan allion na premio napata kwa 12.5....
 
Umeona comment yangu, nimekwambia auto pale wanasema kwa 12.5 unapata.. Sema kusubiri inahitaji moyo bby[emoji16][emoji7]
Ndio autocom bei zao zinakua chini sana sijui hata kwanini.
Subiri tu,mvumilivu hula mbivu.
 
Scania P440
Bei: Milioni 145
Location: Kilimanjaro
Registration😀U
1830075608.jpg
1661545130.jpg
685548239.jpg
823666304.jpg
 
Toyota land cruser pickup
Year 2008
Engine 1Hz
Engine capacity 4164
Diesel
Manual transmission
Full ac
New tyres
Full music sound
4WD off Road
Price Tshs 65ml negotiable

[emoji91]Location Iringa

Contact:0658124554
IMG-20201224-WA0185.jpg
IMG-20201224-WA0186.jpg
IMG-20201224-WA0184.jpg
IMG-20201224-WA0188.jpg
 
Back
Top Bottom