Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #341
Hii gari upatikanaji ni challenge kama jina lake.Natafuta Mitsubishi Challenger
Ule uzi umeniumiza sana mpaka leo...Sijajua kwanini
Umetuumiza wengi aiseeUle uzi umeniumiza sana mpaka leo...
Hii kauli yenu SUV na pick up zipo tofauti kabisaa Mkuu kuhusu mapumziko nami nilihisi hivyo eti Everest ford ipo sawa ranger yaani EverestKumbuka hio ni toyota hilux tu iliyofunikwa kwa nyuma mzee baba.
Ila liko njema, mwenye pesa zake alinyakue fasta.
Bei zake zimeshuka sana Ila Kodi haijashuka ni gari nzuri kweli na mapumziko yapo humo...Hizi gari nazipenda lakini sijui kwanini bei zake hazishuki wakati wameshatoa model mpya yake...
Mmmh[emoji849][emoji15]Umeona comment yangu, nimekwambia auto pale wanasema kwa 12.5 unapata.. Sema kusubiri inahitaji moyo bby[emoji16][emoji7]
Hata mm nimeguna mkuu, hatari sanaMmmh[emoji849][emoji15]