Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
- #121
Toyota Probox
1490CC
Bei: Milioni 7.5
1490CC
Bei: Milioni 7.5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bosi hii kitu ni aje? Naeza kuja na fundi wangu?
Njoo na fundi mkuu tuwasiliane 0658124554Bosi hii kitu ni aje? Naeza kuja na fundi wangu?
Chuma kimeshakuja DarToyota Land cruser vx
Fuel: Diesel
Transmission: manual
Engine code: 1HDT
Full ac
Full duty paid
Gari kali safar popote
NB :Location Dar es salaamView attachment 1569068View attachment 1569069View attachment 1569070View attachment 1569071View attachment 1569072View attachment 1569073
Ungewawekea wadau na bei ya hio machine.Chuma kimeshakuja Dar
Machine ilikua inatakiwa 14 lakini kwakua imekuja mjini inabidi itoke faster bei imeshuka mpaka 13Ungewawekea wadau na bei ya hio machine.
Wadau walinunue fasta,wasilete ushamba wao wa kuangalia Number, Ni chuma cha kazi hicho.Machine ilikua inatakiwa 14 lakini kwakua imekuja mjini inabidi itoke faster bei imeshuka mpaka 13
Hiyo inategemea na condition ya gari mpaka tuione tuitathmini mkuuWadau wakinunue fasta,wasilete ushamba wao wa kuangalia Number, Ni chuma cha kazi hicho.
Nilihitaji gari ya kazi ila nimeshavuta Nissan Patrol.
Kwako Nissan Patrol y60 unaweza kuiuza kwa ngapi on average boss?
Ndio maana nikaweka 'on average' kwa maana ya kwamba bei zita-range ngapi mpk ngapi mzee baba.Hiyo inategemea na condition ya gari mpaka tuione tuitathmini mkuu
Hua zinaanzia Milioni 15 mpaka 35Ndio maana nikaweka 'on average' kwa maana ya kwamba bei zita-range ngapi mpk ngapi mzee baba.
Y60 yenyewe mwisho wake kuzalishwa ilikua 1997,huo mwaka 2008 zilikua ni model za Y61.Hua zinaanzia Milioni 15 mpaka 35
Inategemea upya na model yake
Mfano za mwaka 2008 ni Milioni 30/35
Hiyo yako wewe ulinunua sh ngapi?Y60 yenyewe mwisho wake kuzalishwa ilikua 1997,huo mwaka 2008 zilikua ni model za Y61.
Karibu bossWanunuzi tupo
13m boss,iko full upgraded na off-road kit.Hiyo yako wewe ulinunua sh ngapi?
Ni sawa hizi Y60 sio nyingi sana sokoni unaweza kukaa hata miezi mitatu ukaona moja sokoni inauzwa.13m boss,iko full upgraded na off-road kit.
Unapangwa wewe utaibiwa kuamini amini watu humu ndani. Matapeli wanaandika comment halafu wanaijibu kwa jina jingine ili uingie kingJamaa anaonekana yuko njema manake hayo magari bei zimechangamka