Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

Machine ilikua inatakiwa 14 lakini kwakua imekuja mjini inabidi itoke faster bei imeshuka mpaka 13
Wadau walinunue fasta,wasilete ushamba wao wa kuangalia Number, Ni chuma cha kazi hicho.

Nilihitaji gari ya kazi ila nimeshavuta Nissan Patrol.

Kwako Nissan Patrol y60 unaweza kuiuza kwa ngapi on average boss?
 
Wadau wakinunue fasta,wasilete ushamba wao wa kuangalia Number, Ni chuma cha kazi hicho.

Nilihitaji gari ya kazi ila nimeshavuta Nissan Patrol.

Kwako Nissan Patrol y60 unaweza kuiuza kwa ngapi on average boss?
Hiyo inategemea na condition ya gari mpaka tuione tuitathmini mkuu
 
13m boss,iko full upgraded na off-road kit.
Ni sawa hizi Y60 sio nyingi sana sokoni unaweza kukaa hata miezi mitatu ukaona moja sokoni inauzwa.
Binafsi kwenye career yangu ya uuzaji wa magari niliwahi kuuza moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…