Plot4Sale Miliki kiwanja sasa💪

Mr gmk

Member
Joined
Jun 5, 2023
Posts
5
Reaction score
1
Stuka ujanja ni ardhi new new site 2023[📍forodhani city.

Viwanja vipya Kisemvule Forodhani Cit,y wahi sasa mapema ujipatie kiwanja kwenye round about ya Forodhani City kwa 1,500,000 tu. Karibuni sana katika Mradi wetu mpya 📍Forodhani City, ujipatie kiwanja kilichopimwa na chenye hati miliki.

SIFA ZA VIWANJA VYA FORODHANI CITY

🔍Viwanja Vipo Tambalale
🔍Viwanja vimepimwa
👉Viwanja vina hati miliki
🔍Viwanja vinatambulika na Serikali
🔍Viwanja vimepangiliwa katika makazi bora ya miji ( kila kiwanja kina barabara ya mtaa )

Ukifika Kisemvule tupigie simu, ofisi zetu zipo wazi.

Utapelekwa site na kurudishwa kwa usafiri wa kampuni ni buree Pia usafiri upo wa 🛺bajaji na bodaboda 🏍 hadi site.

Kumbuka viwanja Havina udalali piga simu uje mwenyewe uchague Kiwanja unacho kipenda na ulipie

BEI ZA VIWANJA VYA 📍*( FORODHANI CITY );

📍💥1,500,000/ FT 50×40 Sqm 200
📍💥 3,00,000/ FT 80×50 sqm 400
📍💥 6,000,000/ FT 100×80sqm 800

Unaruhusiwa kununua hata mtaa mzima na unaweza kununua hata kama upo nje ya nchi na ukatumiwa hati yako.

*Kwetu uaminifu ni asilimia 100.

Mwambia mwenzio mradi huu mpya na bora kwa makazi na biashara.

𝐒𝐢𝐤𝐮 𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐞 𝐧𝐢 siku zote za wiki.
WhatsApp +255 764 227 346
WAHI 🏃

View attachment 2646541View attachment 2646542View attachment 2646541View attachment 2646542View attachment 2646544View attachment 2646545
 
Unge upload na picha ingependeza
 
Viwanja vya Kigamboni ili ueleweke wenzio wanaweka na umbali hadi Ferry au Darajani kutoka vilipo viwanja
 
Mna miradi mizuri tatizo .. mnauza kama mashamba ...Yan mteja ananunua kiwanja mnampa hati ya serikali ya mtaa badala ya kupambana mteja apate hati ya wizarani...hapo ndo wengine wanapowapiga ma gab
 
KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MBUTU
Ukubwa:Sqm 521
Umbali kutoka ferry: km 20
Umbali kwenda beach: km 1.5
Umbali kutoka barabara kuu: km 3
Bei: 12M
Hati ya wizara ipo✅
Huduma zote muhimu za kijamii zipo✅
Tuwasiliane kwa Whatsapp 0️⃣7️⃣6️⃣4️⃣2️⃣2️⃣7️⃣3️⃣4️⃣6️⃣
 
JIPATIE VIWANJA VILIVYOPIMWA CHANIKA KWA MBIKI
Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 (20x20)

Bei yake cash ni 4,500,000/=.
Bei ya mkopo ni 5,000,000/=

Mkopo mtaja ataanza na 20% kias kinachobaki kitalipwa ndani ya miez 5 tu sawa na Tsh 1,000,000/=

JE UNGEPENDA KUTEMBELEA MRADI HUU BASI TUWASILIANE KWA WHATSAPP 👉
https//wa.me/+255764227346
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…