wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kwamba freelander ni ya mjerumani au sio mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaona halali kuuziwa harrier 32milioni na ukianguka ni karatasi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Unanunua gari ya kuanguka nalo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaona halali kuuziwa harrier 32milioni na ukianguka ni karatasi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
MajangaMkuu kabisa wataka watu wachukue Freelander?
Lugha za madalali Ngumbaru
Ulikonunua gari ndio utanunua Spare.vpi spare parts zake.. bei ungwana kama toyota zetu
Kwanini?Kama ni Singapore basi hakuna kitu hapoo
mkuu umenichekesha.ni kama mm juz samsung imepasuka kioo nikaamua kuipeleka kwa fundi,bei niliyotajiwa unanua infinix mpyaAh. Basi fresh kiongozi.. itakuwa nzuri nzuri, sema bei za sapre ndio ile kama umenunua gari mala mbili au sio
Gari nzuri mpya hata kama ya ulaya hutojutia, ila kama unanunua used kipengele, services zake una gari mbili aseee..mkuu umenichekesha.ni kama mm juz samsung imepasuka kioo nikaamua kuipeleka kwa fundi,bei niliyotajiwa unanua infinix mpya
Sawa mkuuUlikonunua gari ndio utanunua Spare.
Hii gari kuikuta kwa sossy magari inauzwa million moja na nusu ni swala la kawaida kabisa😅Hiyo aliyoleta muanzisha Uzi ni toleo la pili, na hii hapo chini ni toleo la kwanza ambazo nyingi watu walizipaki baada ya kusumbua.
View attachment 2193068
Bei ya injini Kwa Sasa sijaua inacheza ngapi?
Swala sio kuuziwa Harrier 32M mzee, ishu ni matunzo ya gari yapoje? Watu wananunua reliability from Toyota sio kingine kumbuka gari unanunua mara moja ila utaishi nalo miaka mingi.Unataka spear huwezi ikosa ndani ya masaa 24![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaona halali kuuziwa harrier 32milioni na ukianguka ni karatasi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Anakuambia AC unaganda, kipengele gari haendi Mbele Wala nyumaHii gari kuikuta kwa sossy magari inauzwa million moja na nusu ni swala la kawaida kabisa😅
Nmecheka sana hahahahhahHii gari kuikuta kwa sossy magari inauzwa million moja na nusu ni swala la kawaida kabisa[emoji28]
Hahahahahah kipengele haitembei tu😅Anakuambia AC unaganda, kipengele gari haendi Mbele Wala nyuma
Umeongelea "Availability" na "Convenience" hujaongelea "Reliability".Swala sio kuuziwa Harrier 32M mzee, ishu ni matunzo ya gari yapoje? Watu wananunua reliability from Toyota sio kingine kumbuka gari unanunua mara moja ila utaishi nalo miaka mingi.Unataka spear huwezi ikosa ndani ya masaa 24!
Bei ziko competitive sana unataka kipuri kwa emergency badala ya kufunga cha 250,000 unanunua cha 70,000 unasogeza siku.
reliability sio kitu cha kuhofia kwa Toyota mkuu, a few breakdowns record for 98% fleet of their cars hata hizo tunazochukua kwenye 2nd hand marketsUmeongelea "Availability" na "Convenience" hujaongelea "Reliability".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakuambia AC unaganda, kipengele gari haendi Mbele Wala nyuma
Waziri anapotoshwa na wanaotakiwa kumpa ushauri, Tatizo la ajali za Tanzania ni miundombinu sio uzee wa magariHizi gari za miaka hiyo si ndio ambazo waziri wetu mkuu anataka kupeleka muswaada bungeni kuwa ziwe marufuku kuingizwa nchini!
Mbali na kuangalia au kusingizia uzee wa magari ndo chanzo cha ajali pia wanasema gari zee linahitaji vipuri vingi ili kulifanya liwe barabarani na vipuri hivyo vinakomba pesa ya kigeni kwenye kuvileta nchiniWaziri anapotoshwa na wanaotakiwa kumpa ushauri, Tatizo la ajali za Tanzania ni miundombinu sio uzee wa magari
Safety features kwenye magari haijabadilika sana over years, Abs , Ebd , Ebs, Airbargs, Traction control , etc zipo kwenye magari karibu miaka 20 au zaidi, kinachobadilika sana kwenye magari ni emission controls ambayo ipo regiulated ma euro laws
Kwa bahati mbaya hizi euro emmision laws hazituhusu kabisa sisi third world , leo hii kwa mfano huwezi nunua brand new euro 6 scania na ukaileta Tanzania ,na hata hao saab scania hawawezi kuagiza na kuileta euro 6, kwa sababu itabidi waiuze bila warranty. Gari nyingi wanazouza mpya hata hii next gen ni euro 3 varriant , na euro 3 ni tech iliyotumika ulaya miaka ya 2001 .