Waziri anapotoshwa na wanaotakiwa kumpa ushauri, Tatizo la ajali za Tanzania ni miundombinu sio uzee wa magari
Safety features kwenye magari haijabadilika sana over years, Abs , Ebd , Ebs, Airbargs, Traction control , etc zipo kwenye magari karibu miaka 20 au zaidi, kinachobadilika sana kwenye magari ni emission controls ambayo ipo regiulated ma euro laws
Kwa bahati mbaya hizi euro emmision laws hazituhusu kabisa sisi third world , leo hii kwa mfano huwezi nunua brand new euro 6 scania na ukaileta Tanzania ,na hata hao saab scania hawawezi kuagiza na kuileta euro 6, kwa sababu itabidi waiuze bila warranty. Gari nyingi wanazouza mpya hata hii next gen ni euro 3 varriant , na euro 3 ni tech iliyotumika ulaya miaka ya 2001 .