Miliki SUV Bei rahisi kutoka land Rover

Miliki SUV Bei rahisi kutoka land Rover

Kama hii kiasi gani nivunje kibubušŸ¤”
Hizo hapo bei mkuu
Screenshot 2022-04-25 110249 NUZURATI.png
 
Nunua Land rover kama unataka uhusiano wa kudumu na fundi gereji. Kabla hamjatokwa povu google it's a world-known fact LR is the most unreliable car.
 
Kenya huwezi kabisa kuingiza gari yenye umri wa zaidi ya miaka 8, hakuna kabisa option hata ya kulipa uchakavu
Ndo mana masikini kenya hawezi hata kuota ndoto za kumiliki gari , gari ya bei rahisi kabisa kenya ni karibu milioni 26 za kibongo
Sio kweli kenya wanakomaa honda fit,mazda demio,nissan march kwa watu wa kipato cha chini ni almost milion 13.5 uahuru kwao n rafiki sio km bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli kenya wanakomaa honda fit,mazda demio,nissan march kwa watu wa kipato cha chini ni almost milion 13.5 uahuru kwao n rafiki sio km bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo gari zote ulizotaja zinatakiwa zisiwe na umri wa miaka saba toka kutengenezwa, yani mazda demia ya 2015, honda fit ya 2015 n.k hebu angalia kwenye soko uone gari za miaka hiyo zinagharimu vip
Mil 13 kenya ni gari ya mkononi sio show room
 
Back
Top Bottom