Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Umeme wa Landriver/Range Rover huwa hawajazipatia.Hii hapa SUV Toka land Rover inaitwa free lander 2 nmekusogezea pamoja na ushuru wake ikiwa imeinuka sana basi huu ni mbadala wake badala ya kununua Bei kubwa 32 huu unaupata kwa 23m tu likiwa na airbeg nyingi kuzidi kama harrier au zingine View attachment 2191891View attachment 2191892View attachment 2191893View attachment 2191894View attachment 2191895View attachment 2191896
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Gari nyingi zina cease hata katikati ya barabara.
Mwingereza hizi gari zinamsumbua sana, hata zikiwa brand new.