Milio Imekua Mingi Sana kuhusu Uwezo wa Aziz K

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
Huyu Jamaa ni Chawa Kindandaki wa Utopolo toka South Africa kaachia mlio wake kwa kimombo

"I was watching Young Africans match today and I noticed one thing, Aziz ki doesn’t want to play for the club anymore, he doesn’t run he doesn’t put effort he complains when they didn’t pass him, he doesn’t hunt for the ball, his crosses were poor, I think he wants to leave."
Pia soma: Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

Wana utopolo toka Mbande,mchambawima, Chimanyere na Manyegemanyegere mnasema kuhusu kiwango na perfomance ya Aziz K?

IMG_20250211_152706.jpg
20250211_152728.jpg
 
anaoa Singo Maza, huyu Azizi huwa haji kwenye vikao, hatutaki malalamiko yake
Singo maza ya watoto wawili roho imuume nani?
Kila siku mnawasema single maza kua hawawezi kuolewa lakini huko nje mambo sivyo yalivyo single maza wanaolewa na wanaume wa maana kuwazidi hata nyie na harusi za wanawake 30+ zinafanyika kila weekend.

Nyie wote mnatamani mngeoa wanawake wazuri kama Misa ila ndio hivyo level zenu ni za Asha ngedere.
 
ephen_ rafiki yangu, hakuna aliyesema Singo maza haolewi, ila huwa tunasema kumuoa Singo maza ni kujifunga bomu shingoni any time linakulipukia, na wapo wanaojitoa mhanga mmoja wapo ni huyo Aziz
 
Mbona
Kila siku mnawasema single maza kua hawawezi kuolewa lakini huko nje mambo sivyo yalivyo single maza wanaolewa na wanaume wa maana kuwazidi hata nyie na harusi za wanawake 30+ zinafanyika kila weekend.

Nyie wote mnatamani mngeoa wanawake wazuri kama Misa ila ndio hivyo level zenu ni za Asha ngedere.
Mbona wewe hujaolewa?
 
Wanawake wazuri wapo wengi sana kimshinda hamisa na siyo singo maza

Mwanamke kuzaa wa wanaume wawili tofauti na hakuna mmoja aliyemuoa, Akipata hata zezeta la kutaka kuoa lazima akubali haraka sana
 
Kila siku mnawasema single maza kua hawawezi kuolewa lakini huko nje mambo sivyo yalivyo single maza wanaolewa na wanaume wa maana kuwazidi hata nyie na harusi za wanawake 30+ zinafanyika kila weekend.

Nyie wote mnatamani mngeoa wanawake wazuri kama Misa ila ndio hivyo level zenu ni za Asha ngedere.
Wewe level yako ni ipi...mwanaidi wa buza?
 
Aziz Ki afukuzwe haraka, hana mpira tena mawazo yake yako kwa Hamisa, pumbaf
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣😂
 
Aziz kachanganywa na tununu anasahau msemo wa chezea mshahara na sio ajira. Injinia nae busy kwenye uroho wa madaraka makubwa kumzidi
 
Haya maigizo ya Aziz Kii na Hamisa Mobeto hayana kabisa afya kwa klabu yetu ya Yanga, na hasa kipindi hiki cha kuutetea ubingwa wa Ligi kuu na ule wa kombe la shirikisho la CRDB!

Shida kubwa timu ikifanya vibaya, au hata yeye Aziz Kii mwenyewe ikatokea akacheza chini ya kiwango kwenye baadhi ya mechi, maadui zetu watapata cha kusema! Haya mambo alitakiwa ayafanye wakati wa mapumziko baada ya msimu wa Ligi kufikia tamati.
 
Kila siku mnawasema single maza kua hawawezi kuolewa lakini huko nje mambo sivyo yalivyo single maza wanaolewa na wanaume wa maana kuwazidi hata nyie na harusi za wanawake 30+ zinafanyika kila weekend.

Nyie wote mnatamani mngeoa wanawake wazuri kama Misa ila ndio hivyo level zenu ni za Asha ngedere.
Hapo kwa singo Maza siingilii.Ila mwanaume mkamilifu anaemjua hamisa halafu akawa nae jua Hana kinyaa.
 
Back
Top Bottom