Milio Imekua Mingi Sana kuhusu Uwezo wa Aziz K

Milio Imekua Mingi Sana kuhusu Uwezo wa Aziz K

Haya maigizo ya Aziz Kii na Hamisa Mobeto hayana kabisa afya kwa klabu yetu ya Yanga, na hasa kipindi hiki cha kuutetea ubingwa wa Ligi kuu na ule wa kombe la shirikisho la CRDB!

Shida kubwa timu ikifanya vibaya, au hata yeye Aziz Kii mwenyewe ikatokea akacheza chini ya kiwango kwenye baadhi ya mechi, maadui zetu watapata cha kusema! Haya mambo alitakiwa ayafanye wakati wa mapumziko baada ya msimu wa Ligi kufikia tamati.
Sasa hivi kipaumbele cha kwanza cha Uto ni harusi ya Hamisa. Viongozi, watendaji na wachezaji wote wako bize kushona suti, kujifunza dance za kuingilia na kusaka mishangazi ya kuambatana nayo. Mnaowazia ubingwa wowote msimu huu mnapoteza muda wenu.
 
Back
Top Bottom