Milion 65 ni watu wachache sana kutegemegemea soko la ndani. VETA ni uongo wa kuwafukarisha watanzania. Elimu ya juu inaleta technical know how

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,040
Reaction score
4,529
Nchi kama nchi au marekani au india ni nchi ambazo zikisema vijana wake waende vocational trainings inakubalika kiuchumi mana soko la ndani linajitoshereza.

Tunaposema soko tunamaanisha effective demand (AD).

Sisis watanzani ni milion 65 tu ambapo hata mkiwashawishi vijana wajiajiri effective demand ni nfogo as a result kufiriska kuko nje nje

Solution na kupromote elimu ya juu udsm ili kuwafanya vijana wawe na uwezo mkubwa wa ushindani nje ya chi

Leo hii mtu aliyemaliza VETA hawezi kutafuta kibaru au kushi dana na .mkenya hata kidogo.

Therefore VETA ni kuwahadaa watanzania
 
Hoja yako aieleweki kwanini unasema 65m za watanzania hajitosherezi kwa kutoa effective demand? Kwani hatuhitaji fundi magari electronics plumbers painting welding catering nk... .kwangu naona hao degree ndo wanao leta dependency kwasababu ni wengi bila production wote wanahitaji white color jobs, VETA ndo suluhisho
 
Ujuzi wa kazi za mikono, kuna fursa kibao nchi za SADC, Mashariki ya Kati, Ulaya na Marekani ya Kaskazini

Ujuzi kwenye Ufundi cherehani, uashi, turn & fitters, seremala, kuchomea vyuma, ubaharia, huduma za hotelini & airport n.k

Ni VETA uongozi wake wawe wabunifu ktk kozi zao zifahamike na kuvuka mipaka ya nchi , ili hata wazamiaji wakienda South Africa wawe na ujuzi wa pa kuanzia wa kazi za mikono zenye ujuzi zaidi ya kuuza madawa kulevya n.k

Mfano fitters & turners, plumbers useremala ujuzi wake siyo katika kutengeneza viti tu pale Changombe DSM bali hata kwenye sekta ya ukarafati na ujenzi wa meli duniani wanahitaji watu wenye ujuzi huo wa kazi za mikono ili meli na yacht ujenzi wake ukamilike. .. na sekta hizo za ujenzi wa meli zipo huko nje duniani ... bado hatujapita airports na mahoteli mashariki ya kati waKenya wamejaa Qatar n.k ...
 
Mpaka sasa nawaza sana hoja ya watu wenye elimu ngazi ya ngazi ya juu kurudi veta inalenga kuonesha kuwa kada walizosomea si sahihi au washushe thaman ya taaluma zao kwa kuzirasimisha kwa namna nyingine
 
Ujuzi wa kazi za mikono, kuna fursa kibao nchi za SADC, Mashariki ya Kati, Ulaya na Marekani ya Kaskazini

Ujuzi kwenye Ufundi cherehani, uashi, turn & fitters, seremala, kuchomea vyuma, ubaharia, huduma za hotelini & airport n.k

Ni VETA uongozi wake wawe wabunifu ktk kozi zao zifahamike na kuvuka mipaka ya nchi , ili hata wazamiaji wakienda South Africa wawe na ujuzi wa pa kuanzia wa kazi za mikono zenye ujuzi zaidi ya kuuza madawa kulevya n.k

Mfano fitters & turners, plumbers useremala ujuzi wake siyo katika kutengeneza viti tu pale Changombe DSM bali hata kwenye sekta ya ukarafati na ujenzi wa meli duniani wanahitaji watu wenye ujuzi huo wa kazi za mikono ili meli na yacht ujenzi wake ukamilike. .. na sekta hizo za ujenzi wa meli zipo huko nje duniani ... bado hatujapita airports na mahoteli mashariki ya kati waKenya wamejaa Qatar n.k ...

Tunahitaji watu wote.
Tunahitaji Engineers na tunahitaji pia hawa technicians nk. Ni kazi ya viongozi wetu kuhakikisha hawa watu wanatumika kila mahala ili kujenga nchi.

Kushindwa kutumia hii workforce iliyojaa mtaani na kuifanya Tanzania kuwa Taifa lenye miguvu ya uchumi ni ujinga tu wa watawala.
Maana population kubwa yenye uwezo wa kuzarisha ni mtaji mkubwa sana kwa Taifa lolote.

Dunia inataka watu competent sio blah blah, hao Veta wetu wengi hawana competence inayohitaji nchi zilzoendelea, yakuweza kwenda kushindana Ulaya na America maana huko watu wako competent na kazi zao ni za high quality ndio maana kila kazi lazima uwe certified.

Huwezi ukawa nchi masikini halafu ukashindwa kutengeneza ajira za kutosha kwa watu wako, Taifa masikini maana yake kuna kazi nyingi za kufanya huku na kule ili kujenga Taifa, ,kazi ya kumobilize na kuallocate maeneo ni kazi ya Serikali.
 
Ujuzi wa kazi za mikono, kuna fursa kibao nchi za SADC, Mashariki ya Kati, Ulaya na Marekani ya Kaskazini

Ujuzi kwenye Ufundi cherehani, uashi, turn & fitters, seremala, kuchomea vyuma, ubaharia, huduma za hotelini & airport n.k

Ni VETA uongozi wake wawe wabunifu ktk kozi zao zifahamike na kuvuka mipaka ya nchi , ili hata wazamiaji wakienda South Africa wawe na ujuzi wa pa kuanzia wa kazi za mikono zenye ujuzi zaidi ya kuuza madawa kulevya n.k

Mfano fitters & turners, plumbers useremala ujuzi wake siyo katika kutengeneza viti tu pale Changombe DSM bali hata kwenye sekta ya ukarafati na ujenzi wa meli duniani wanahitaji watu wenye ujuzi huo wa kazi za mikono ili meli na yacht ujenzi wake ukamilike. .. na sekta hizo za ujenzi wa meli zipo huko nje duniani ... bado hatujapita airports na mahoteli mashariki ya kati waKenya wamejaa Qatar n.k ...
Sisi tunaenzi kiswahili, waKenya wanafunzwa lugha ya ulimwengu. Matokeo yake sisi tunapiga umbea hapa, waKenya wanachapa kazi huko duniani.
 
Back
Top Bottom