Milionea arudia umachinga baada ya kufilisika

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Milionea Gathuo Gichuru raia wa Kenya amejikuta akiangukia kwenye uuzaji mitumba baada ya kufilisika kutokana na kumaliza pesa kwenye kampeni za kuwania kiti cha Senate eneo la Laikipia mara mbili bila mafanikio.

Gathuo ambaye ni mhitimu wa Uchumi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta aliamua kujiingiza katika siasa baada ya kufanikiwa kwenye biashara mwaka 2013 lakini aliishia kuanguka mara mbili, 2013 na 2017 na kupelekea kuingia katika lindi na umasikini.

"Nina msongo wa mawazo, mke wangu alinikimbia 2013 baada ya kushindwa uchaguzi, ndugu zangu pia walinisaliti. Nimeamua kuwa muuza nguo ili niingize kipato", amesema Gathuo huku akiangua kilio.

 
Maisha ndivyo yalivo,unaweza ukawa leo rais kesho rais msitafu
 
Milionea Gathuo Gichuru raia wa Kenya amejikuta akiangukia kwenye uuzaji mitumba baada ya kufilisika kutokana na kumaliza pesa kwenye kampeni za kuwania kiti cha Senate eneo la Laikipia mara mbili bila mafanikio....
Angekomaa nakazi alie somea
 
Hii inanikumbusha bwana Valentine Tressa wa Sierra Leone kutoka ikuru kama rais ad kwenye vilabu vya gongo za kugongea[emoji17]
 
Hii inanikumbusha bwana Valentine Tressa wa Sierra Leone kutoka ikuru kama rais ad kwenye vilabu vya gongo za kugongea[emoji17]

tressa ni shujaa wa africa,tena anatakiwa aheshimiwe sana.sijui kwanini anaandikwa kama mtu mjinga aliyeshindwa kujiongeza.

sababi ya tressa kuishi maisha ya kawaida ni kwamba hakuingia madarakanibkwa damu,na hata baada ya kuingia hakutengeneza ngao kwa ajiri ya ufalme wake.bahati mbaya wajinga wakamtoa na kumuacha kama alivyo.
 
Siasa inanza nyumbani inaanza kitaani sasa baada ya kupata pesa umekimbia kitaa umejichanganya na wakubwa na wao wakakundanganya na hayo ndio matokeo yake .Uzuri wake umejua wapi ulipotoka bado hujachelewa pengine utapa akili mpya.
 
Life is about risk taking, he took a risk on politics and he lost, he has fulfilled his desire. Without risk taking life can be boring.

You have to calculate your risks, don't jump into investments head first, especially if you're a father to a whole freaking family.
He invested every damn shilling into a political venture without applying some due diligence, he was and is still stupid.
Am a father, a family man, every decision involves posterity of the whole family, it's not just about and around me.
 
Asikate tamaa kunasiku atatoboa katika ndoto yake
Kuna kale ka usemi ka kizungu kanakosema 'Golden chance never come twice',haka nadhani ndio kila akikafikiria stress zinaendelea kumuandama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…