Milioni 1 yampa wakati mgumu msanii ‘hemedi’, ni deni la nguo anazovaa kwa mkopo…!!

Amezoea kuwadanganya watoto wa kike ili wamuonge huyo Pumba za Hapa Dar ameshalost huyo bora auze tu kota.
 
Aaargh! nimepotea njia tu, mi huwa hata kuzisikia habar zao huwa sipendi! huyu jamaa anaonekana ana tamaa na kipato hana na c huyu 2 wapo weng wanaufos ustaa na kujipachika majina makubwa makubwa wakati c saiz yao. Nadhan magazet ya udaku yanahusika pia
 
"Sikopi nguo na kamwe siwezi kukopa pamba!kuvaa ugonjwa wangu na pesa yangu huishia katika pamba!ningeambiwa nadaiwa na mademu kwa kukopa penzi ningeamini ila siyo nguo"....maneno ya mkali wa bongo movie hemed PHD baada ya kumvutia waya kutaka kujua je shutuma hizi ni za kweli!
 
alihojiwa na chombo gani icho cha habari??
 
Mambo mengine ni kichekesho kwani ajabu yeye kudaiwa jaman tuache ushabiki.ktk hii dunia watu tunategemeana kwa mengi tu.angalia watu malufu wanadaiwa,klabu malufu zinadaiwa ht matajili nao wanadaiwa hvy yeye kudaiwa sio ajabu.ht mi nadaiwa kwan wewe hudaiwi?

We hata ulidaiwa nani anakujua, umeshatoa muvi hata moja?
 
alihojiwa na chombo gani icho cha habari??
Mkali mwenyewe nilimvutia waya baada ya kuona hili bandiko!!!watu wazushi bab kino maduka ya nguo yanayokick kwa kim na robby one halafu hawakopeshagi nguo hata uwe mwana kiasi gani
 
"Sikopi nguo na kamwe siwezi kukopa pamba!kuvaa ugonjwa wangu na pesa yangu huishia katika pamba!ningeambiwa nadaiwa na mademu kwa kukopa penzi ningeamini ila siyo nguo"....maneno ya mkali wa bongo movie hemed PHD baada ya kumvutia waya kutaka kujua je shutuma hizi ni za kweli!
Huwezi kukubali kama kweli unadaiwa na kwa maelezo yako wewe ndiwe PHD mwenyewe. Ila ujumbe umefika so to make it short kalipe deni la watu then uendelee kuuza hiyo sura yako.
 
Kuna watu wanakopa ili wanunue magari!bora anayekopa ili avae asitembee uchi...

Sioni tatizo kukopa gari...mmmh nguo kama hoja asikae uchi, angenunua hata mtumba sidhani ingemcost 1m
 
Mkali mwenyewe nilimvutia waya baada ya kuona hili bandiko!!!watu wazushi bab kino maduka ya nguo yanayokick kwa kim na robby one halafu hawakopeshagi nguo hata uwe mwana kiasi gani

duuh..niliendaga kwenye hayo maduka nikakuta midosho tuu..ukiwa mvaaji stylish kama mimi..Tanzania pagumu sana kupata outfits
 
Back
Top Bottom