Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kwani HIV inaambukizwa kwa kujibu hoja au kutoa hoja hapa jamvini?Au nawe upo kati ya wale wanaotafuta wenza hapa jamvini na hawana uthubutu wa kupimakatika hhao milioni mbili hakuna hata mmoja memba wa jf? tunahitaji na statistic ya memba waathirika wa jf , tusje tukauvaa mkenge.
hapa greti thinka unaonekana umekasirika sana! acha nikuapolojaizi. sore greti thinka foo my veri schupid komenti.Kwani HIV inaambukizwa kwa kujibu hoja au kutoa hoja hapa jamvini?Au nawe upo kati ya wale wanaotafuta wenza hapa jamvini na hawana uthubutu wa kupima
IMEFAHAMIKA kuwa watu wapatao milioni mbili hufa kila mwaka kutokana na maradhi ya ukimwi nchini Tanzania imefahamika.
Hayo yalifahamika siku ya kuadhimisha siku ya ukimwi duniani ambapo nchini Tanzania yaliadhimishwa mkoani Tanga kitaifa.
Akitoa takwimu hiyo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema ugonjwa huo bado ni tatizo nchini na inateketeza nguvu ya taifa nchini.
Hivyo amewataka wachukue tahadhari na kuzidi kuondoa maovu yanayosababishwa kuleta ugonjwa huo nchini ikiwemo kuondoa ngono zembe zisizo za lazima.
Idadi hiyo kitaifa bado inaonekana baadhi ya watanzania bado hawachukui tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.
http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3681518&&Cat=1
Guys, something is very fishy with this figure. If its true that 2m people die each year, at the current birth rate of 3%, then almost surely the Tz population should have been exponentialy decreasing! Either something is wrong with this figure or the reporter misquoted it.