Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
IMEFAHAMIKA kuwa watu wapatao milioni mbili hufa kila mwaka kutokana na maradhi ya ukimwi nchini Tanzania imefahamika.
Hayo yalifahamika siku ya kuadhimisha siku ya ukimwi duniani ambapo nchini Tanzania yaliadhimishwa mkoani Tanga kitaifa.
Akitoa takwimu hiyo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema ugonjwa huo bado ni tatizo nchini na inateketeza nguvu ya taifa nchini.
Hivyo amewataka wachukue tahadhari na kuzidi kuondoa maovu yanayosababishwa kuleta ugonjwa huo nchini ikiwemo kuondoa ngono zembe zisizo za lazima.
Idadi hiyo kitaifa bado inaonekana baadhi ya watanzania bado hawachukui tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.
http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3681518&&Cat=1