Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kuweka na
vocha ingawaje faida yake ni ndogo lakini vocha ni kivutio kikubwa sana
cha kumleta mteja ktk eneo lako la biashara hivyo ni rahisi kununua na
bidhaa nyingine.
mtaji ukiongozeka jenga mortuary ya mtaani isiyohitaji hospitali
ngoshas unanikumbusha msela wangu fulani hivi maeneo ya Nyegezi, Mwanza.
hahaha,umejuaje maDon kule sisili,italy ndo business zao.mtaji ukiongozeka jenga mortuary ya mtaani isiyohitaji hospitali
Mwanza SAUThahaaa Hekima bana, nyegezi ipi
mkuu wapi huko eka 1 inapatikana kwa laki moja?1 milion ntanunua boda boda used. Laki 5 ntanunua kuku wale wa malawi na nitawafuga kisasa .kwa msaada wa jf memberz ntafanikiwa. Laki 1 ntanunua eka 1 ntataftia hati ili niweze pata mkopo. Mapato ya boda boda ntatumia kununua msosi wa kuku na madawa
mkuu wapi huko eka 1 inapatikana kwa laki moja?
Sasa tujiunge hapa ili tuanzishe ajira zetu wenyewe na wadogo zetu kwa siku zijazo. Naanza kuorodhesha:-
mkuu wapi huko eka 1 inapatikana kwa laki moja?
Hongereni sana wadogo zangu,huo ni uamuzi sahihi kabisa haya maisha sio yakujaribu nikufanya,usikhofie changamoto hizo ndio zinakukomaza,
Usia wangu mmoja pendeni sana kufanya kazi zenu kwa uaminifu na ukweli na uwazi,msisahau kumtanguliza mungu mbele,kingine jiepusheni kabisa na ngono kaeni nayo mbali,najua mambo yakianza kunyooka mtapata vicheko vingi sana kwa kina Dada waepukeni maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya milima na miteremko,niwaombee kila la kheri katika kazi zenu.